Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sekretarieti inashindwa Nini hata kama taasisi haijajiandaa, toa matokeo ya waliopata kazi ila waambie wasubiri kupangiwa vituo.... hiyo ni rahisi mtu kusubiri hata mwaka.
Utaratibu wa sa ivi mtu unaweza kuwa unalalamika placement zinachelewa kumbe oral yenyewe ulipata 15
 
Mi naamini mpaka wanaita interview Ina maana Kuna uhitaji wa watu na mambo ya bajeti yote yanakuwa sawa.

Mpaka mnatoka oral alama zinakuwa zishajulikana inabaki kikao Cha ku approve tu matokeo.
Ss Huwa najiuliza Huwa nn tn kinakwamisha? Kuna post walitoa za watu 10 mpk Sasa kaitwa mmoja huu mwezi Karib wa 3 ss
 
Umeona ehhh,yani n balaa bora ingekua ivi maana unawez subir ki2 ambacho hakipo,wazaz wanauliza enhe ayo matokeo yanatoka lini najibu sjui naonekana spo serious.
 
mapumbavu yale hayana akili.yanawaza kuposti picha tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…