Bro, ebu nipe uzoefu kidogo na mbinu za interview ya TA kwa Written na OralBro thank you, umenifanya niwe na matumain ya kusubiria placement ya tutorial assistant kwa hamu kubwa
Hivi hapa ndo nafanya oral tu halafu natoka DODOMA ndukii🏃au naomba muongozo wenu wazoefu
Jipange ni written mkuu. Naona wamekosea maan mpo wengi sana sa kivp wafanye written tuHivi hapa ndo nafanya oral tu halafu natoka DODOMA ndukii[emoji125]au naomba muongozo wenu wazoefu
[emoji23][emoji23][emoji23]mzee ww ni dalali wa kimbinyiko nn , sio first time nakuona na hii basiSawa, tumekubaliana mm na utumishi tukutane uso kwa uso tarehe 20 na 21
Wapi kimbinyikooooooooooooo.!
Wakati nasoma udom ndo ilikuwa gari langu mana ilikuwa inafika Sabasaba ambapo ni rahisi kwenda chuo tofauti na gari zingine zinaishia nanenane[emoji23][emoji23][emoji23]mzee ww ni dalali wa kimbinyiko nn , sio first time nakuona na hii basi
Nadhani placements na interviews ni mbingu na ardhi,..wanaweza fanyiwa usaili watu elfu wakaitwa watano!Nyie mnaosubiri replacement itabidi mtusubiri sisi wa interview tumalize ili tuwe pamoja kwenye pdf, ule muda wa kusubiri pdf la 1TB ndo sasa.
Placement inaweza kutoka na majina yenu kabla ya 2022Nyie mnaosubiri replacement itabidi mtusubiri sisi wa interview tumalize ili tuwe pamoja kwenye pdf, ule muda wa kusubiri pdf la 1TB ndo sasa.
Babaaa watatuua awa bora litoke tu tujue la kufanya mapema [emoji23]Nyie mnaosubiri replacement itabidi mtusubiri sisi wa interview tumalize ili tuwe pamoja kwenye pdf, ule muda wa kusubiri pdf la 1TB ndo sasa.
Na ukishapata mwana TAFUTA CPA...!!!Hivi hapa ndo nafanya oral tu halafu natoka DODOMA ndukii🏃au naomba muongozo wenu wazoefu
Umeonae eeh yani saivi wanataka under 30dah hii age limit inakosesha matumaini wengi aseeeeee
sasa sisi wenye 32 vipi sasa na tunategemea mitaji ya biashara kutoka kwenye kazi za kuajiriwaUmeonae eeh yani saivi wanataka under 30
😂😂Kuipata hiyo nayo ni mtiti Mzee babaNa ukishapata mwana TAFUTA CPA...!!!
#YNWA
Wengine wanatamani post ili tupate capital ya mambo mengineWapiganaji wenzangu nawasalimia
Maisha yamekua magumu hata wenye vibarua tunalia