Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Huu ni ujinga sasa, kuna haja gani ya vijana wanaokwenda jkt kujitolea halaf ajira zikitoka wanashindanishwa na wasioenda

Je wale ambo wamesoma wakapita advance alafu hawakuchaguliwa kwenda JKT kwa mujibu,wakasubiri muda wa chuo wakaenda wakamaliza elimu yao,alafu pia kuna wale walitoka Form IV wakaenda Certificate,Diploma mpaka elimu ya juu kumbuka hawa mfumo hauwapi nafasi ya kwenda kwa Mujibu,je unaona ni haki zikitoka ajira watemwe kw kigezo ch Jkt? Swala hapa ni kwamba kama mtu anakizi vigezo vya elimu basi hiyo ajira ipambaniwe kwa usawa kama ilivyo PSRS.
 
Hapo usikute kuna mtoto wa kigogo kalalamika kwa daddy yake kuwa hicho kigezo kinamkwaza[emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23]hili sakata lilianza jana bungeni,ila huyo alie lia atasaidia pia wanyonge waliotoka form iv kwenda chuo moja kwa moja wakapishana na ile jkt ya kwa mujibu,mana mtu alikuwa akiona kigezo cha jkt anapita huku kakunja sura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…