Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkuu huna haja ya kukopa bando ili kufatilia habari za placement kama umepata au bado zamu yako haijafika

Ukipata kazi trust me mtu wa Kwanza kujua sio wewe ni watu wengine kabisaa, itakuwa ni either Hater ambae alikuwa anakudundia usipate au mtu aliekuwa anatamani upate

Kwahiyo utapigiwa simu ata sa 7 za usiku kupewa hizo taarifa, ila kusema eti hadi unakopa ili tu ufatilie habari za placement sidhani kama ni matumizi mazuri ya mkopo wa bando

We chili tu kwa sababu ukikosa utajua na ata ukipata utajua, haijarishi una bando au hauna, though najua kuwa unajoke unaposema kuwa unakopa bando ili kufatilia habari za placement
Hahaha
 
Mi naomba experience kwa wale wa account officer ii ,ni material gani mlikiwa amnayatumia mpaka kufanikiwa kuingia oral? Maana mtihan unakuja wajamaa wamepasua balaa mpaka unasema hee
 
Mimi innojembe kiboko ya Itpersonal nimelamba asali asanteni kwa ushirikiano.....nnamengi ya kusema ila kwa uchache nseme 1.MUNGU 2.TIME 3.PATIENT 4.CONFIDENCE 5.UJANJA KWA KUCHANGAMKA
Hongera Sana mkuu, ukawe mtumishi mwema na mchapa kazi kila la kheri katika majukumu yako mkuu.
 
Nielezee point namba 5 kaka

E

Kuna wakati Tukisema kumtanguliza Mungu sio kumtanguliza Inapofika interview tu ni swala endelevu before na after interview.......ujanja wa kuchangamka means ni kama ukiwa kwenye conversation na wenzio before interview soma weakness zao na uzifanyie kazi,(japo si kila mtu kajaliwa kusoma mtu kwa haraka) ila inabidi ujitahidi kadri ya uwezo wako kufahamu vitu vya ujanja ujanja outside interview mfano mwingine mtu anafika Dodoma afu hapafahamu anapoenda kufanyia interview Yaani mpka siku ya interview ndo anaenda kupaona this is not GOOD...unapaswa kupaona one day before kama ikiwezekana au 4 hours before wale jamaa wa meditation na YOGA (nahisi wananielewa) uo ndo ujanja unjanja nao uzungumzia
 
Back
Top Bottom