Mkuu huna haja ya kukopa bando ili kufatilia habari za placement kama umepata au bado zamu yako haijafika
Ukipata kazi trust me mtu wa Kwanza kujua sio wewe ni watu wengine kabisaa, itakuwa ni either Hater ambae alikuwa anakudundia usipate au mtu aliekuwa anatamani upate
Kwahiyo utapigiwa simu ata sa 7 za usiku kupewa hizo taarifa, ila kusema eti hadi unakopa ili tu ufatilie habari za placement sidhani kama ni matumizi mazuri ya mkopo wa bando
We chili tu kwa sababu ukikosa utajua na ata ukipata utajua, haijarishi una bando au hauna, though najua kuwa unajoke unaposema kuwa unakopa bando ili kufatilia habari za placement