Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

amna noma kaka ngoja tusikilizie mkeka unaokuja nisipoona jina langu naenda kuchukua barua hivyohivyo.[emoji1787][emoji1787]
Hizi sepa na kijiji zinawakuta watu wa civil tu naona
Electrical hii ilitokea moja tu ,tena ya watu kumi na tano ,ile ya REA basi , huko kwingine ni papatu papatu ile ya mtu mmoja baada ya mikeka miwili ya Placement [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu wakiona Artisan (Electrical ) au Technician Electrical wanadhani ni engineer wakati hao ni mafundi mchundo na si wahandisi /Engineers

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
ndugu yangu we acha tu yaan tunawekwa roho juu🤣 🤣
 
Aiseeeeeeh Kuna watu nmewaona kwenye mkeka kipindi mi nipo first year wao wapo forth year TE&CE Leo wameulamba aiseeeh tusikate tamaa hapo naongelea 2016 mtu kaja kulamba asali 2024 tusikate tamaa tupambane wakuu[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Hivi Tutarajie Placement nyingine au hii ya jana inatosha ?
 
Hongera sana kaka
 
Hongera sana kaka
 
Hongera sana Kiongozi Ukawe mtumishi mwema
 
hongera kaka mkalitumikie taifa katika uhadilifu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…