Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu samahani mfano mmeitwa oral utumishi lakini kwenye tangazo la kazi walihitaji watu wa education,psychology,home economics,social work na nafasi ya kazi ni Janitor. Je kwenye oral interview watauliza sana maswali kwenye kada ipi. Naomba uzoefu kidogo hapo
 
Soma mambo ya Janitor
 
PSRS sjui vimulimuli vya Placement vitaanza lini,au mpk maombelezo yaishe.
 
Kale kasiku ka furaha huwa kapokapo tuu, yaani unabaki hauamini kama hassle ndio imeisha hivyo, na unapokuwa umefikia hatua ya kudoubt kama kweli ipo siku utatoboa ujue hiyo siku haipo mbali, Mkuu utatoboa tuu na utasahau.
Basi soon tu[emoji23]
 
daahh na iwe hivyo kaka..
 
Jamani naomba kujua hivi kwa walioitwa TAKUKURU kwenye usaili kile kigezo cha JKT bado ni lazima? Halafu pia ile fomu unayoijaza mwenyekiti inabidi agonge muhuri anapojaza pale?
 
Salam wakuu,
Nafikiri kuna wahindisi humu hasa Graduate Engineers. Naomba kuulizia utaratibu wa mtu kuwa registered kama Graduate Engineer hadi kupewa cheti.
Nimejaribu kufatilia mtandaoni sipati taarifa sahihi na mkoa nilipo hakuna ofisi za ERB. Nimemaliza chuo 2023.
Asanteni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…