ghost_
Member
- Sep 4, 2016
- 45
- 100
Salam wakuu,
Nafikiri kuna wahindisi humu hasa Graduate Engineers. Naomba kuulizia utaratibu wa mtu kuwa registered kama Graduate Engineer hadi kupewa cheti.
Nimejaribu kufatilia mtandaoni sipati taarifa sahihi na mkoa nilipo hakuna ofisi za ERB. Nimemaliza chuo 2023.
Asanteni.