Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hivi kazi za veta hazinaga maswala ya data base?, maana juzi kuna watu wameachwa na wamefaulu nashangaa tena wametangaza nafasi mpya mwezi huu wakati mwezi wa kwanza wamefanya na mwezi wa pili teali wameitwa kazini
[emoji2][emoji2]duuh tusikate tamAA tuzipambanie
 
Mi reveived naongeza kama kawa kaka hamna kukata tamaa sema niliamua kujichomeka upande mwingine ili kusukuma maisha wakati tunajitafuta
 
Jamani hv inakuwaje utumishi wanaitaji watu 10 lkn oral wanachukua watu 159? Mwenye majibu pls
Achana nao kumamke zao hao.

Mwaka Jana tulifanya oral 200+ nafasi zilikuwa 50 wakaja kuita watu 20 tu hawajawahi kuita tena mpaka leo kazini watu wengine.

Wanatumia database fulani hivi ya watu kama 80 yenyewe inaisha wa sita.

Sasa nadhani wanatumia mfumo wa FIFO.

ila wanaingiza sana watu database bila Sababu ya msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…