Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kada zingine hakuna hata hiyo data base lakini unakuta
Nafasi zilikuwa 5
Oral walioenda 23
Mpaka leo wameitwa 3 kurepoti kazini
 
utumishi hawana fomula yaani watu mnatakiwa 10 wameitwa watano mnakaa mnasubiri unashangaa wanacholewa 7 kutoka database
 
ndio maana watu hawaripoti maofisini.wanakuja kumita mtu ofisini baada ya miaka 2 unategemea nini..
 
Web ya PSRS ni ADDICTION kama ilivyo Energy drink, Gomba, sigara, Ngiba, Kete full Arosto Daily[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…