Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Achana nao kumamke zao hao.

Mwaka Jana tulifanya oral 200+ nafasi zilikuwa 50 wakaja kuita watu 20 tu hawajawahi kuita tena mpaka leo kazini watu wengine.

Wanatumia database fulani hivi ya watu kama 80 yenyewe inaisha wa sita.

Sasa nadhani wanatumia mfumo wa FIFO.

ila wanaingiza sana watu database bila Sababu ya msingi
Kada zingine hakuna hata hiyo data base lakini unakuta
Nafasi zilikuwa 5
Oral walioenda 23
Mpaka leo wameitwa 3 kurepoti kazini
 
utumishi hawana fomula yaani watu mnatakiwa 10 wameitwa watano mnakaa mnasubiri unashangaa wanacholewa 7 kutoka database
 
ndio maana watu hawaripoti maofisini.wanakuja kumita mtu ofisini baada ya miaka 2 unategemea nini..
 
Web ya PSRS ni ADDICTION kama ilivyo Energy drink, Gomba, sigara, Ngiba, Kete full Arosto Daily[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom