mwache anajikuta kashapata barua π€£ π€£Naona jobless leo mmechangamka π
sasa kama hakuna pdf tufanyaje.. π€£ π€£Naona jobless leo mmechangamka π
Usije ukaamini maneno ya mwana siasa ndugu.Ajira elf 44 alizosema waziri wa Utumishi mhe. simbachawane zinasemaje?[emoji3]
πππ mwanasiasa akisema tuamke kumekucha toka nje kaangaliaUsije ukaamini maneno ya mwana siasa ndugu.
Haha!! Yeah!! Kila kitu anachotamka mwanasiasa ujue kina 'political mileage' ndani yake.[emoji16][emoji16][emoji16] mwanasiasa akisema tuamke kumekucha toka nje kaangalia
Dah!!!!hawa sio wakuamini......!!!!Ajira elf 44 alizosema waziri wa Utumishi mhe. simbachawane zinasemaje?[emoji3]
Mimi ni January ya 2024Hata Mimi nilifanya mda mwez wa 12. Kada gani?
We mpumbavu nakutukanaVipi Leo hamjatukanana?
Siku izi ni mwendo wa majina ya page moja tu,pdf halina nyama za kutosha,mbn wanabana ivi shida nn
We ujapataSiku izi ni mwendo wa majina ya page moja tu,pdf halina nyama za kutosha,mbn wanabana ivi shida nn
Bado[emoji23]We ujapata
Sure mkuu,mbn wanazuga sana..wanatujaza dom kule na majina yanatok ya page 1Ila PSRS...
Mama(Rais) atizame upya watu hawa sio week nzima unatoa majina haya ni Utesaji tu...
Inahitaji maombi kwa watu hawa maana tunapita kwenye joto 300c