Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂
[emoji1787]kazi ipo tupoe tu
Itakua hawalali siku iyo[emoji1787]lazima kuwe na vitu vingi kwenye kichwa,ulipotoka,unapoenda sidhan km walipata usingiz kwa haraka.Hivi mnaokuwaga mtaani yaani umekaa huna mishe ghafla unaona mkeka wa Utumishi wanakuita huwa mnajiskiaje. Hebu tupeni experience
[emoji23][emoji23]wameamua kututesa apo tusubir next wk kamkeka kengine ka mchongo...kwa hii hali unatakiwa kushona na kutulia tuKuna pdf uko, ila PSRS hawako seriously Kun
Hawana jipya....Taasisi ni zile zile zilizofanyiwa placement nov 2023 leo zimerudi inamaana Watumishi waliowapeleka wamegoma au...Kuna pdf uko, ila PSRS hawako seriously Kun
Very true haiseeHawa psrs sijui nini shida, wanadai tasisi inayo toa tangazo ndo zenye shida kuchelewesha kuita watu kazini sio kweli kabisa, kama ni tasisi ndo inayo chelewesha why wairuhusu ilete tangazo na wafanye mchakato wa usahili angali wanajua tasisi haitaki watu ivi karibuni.
Bora ucheleweshe kuita watu katika usahili kuliko placement.
Kuna kada tangu mwenzi wa saba walifanya oral na nyingingine toka mwenzi wa 11 walifanya oral hata mmoja hajapangiwa!.
Bora wapangie idadi iliyosemwa katika tangazo la kazi afu wngine waliyo fauli wasubili data base ila wakijua tayali ile kada ilipangiwa watu
Hongera sana kwa walokula shavuKuna PDF ya placement ya 1 page huko[emoji23][emoji23][emoji23]
Na mafisa hesabu kwenye halimashauri"Tunakwenda kupunguza masuala ya kukopa hasa kwa huduma za jamii sababu katika miaka mitatu hii tumekopa sana kwa ajili ya huduma za jamii, elimu, afya, maji umeme na mambo mengine, sasa tunakokwenda miaka miwili hii mnajua fika matumizi makubwa yataelekea wapi, sasa ili fedha ziweze kurudi TAMISEMI lazima tufanye jitihada za makusanyo," - Rais @SuluhuSamia
.....
Hapa kunaharufu ya Mkeka wa TRA
Na font size ingekua ndogo basi tungepata robo page[emoji1787]Kuna PDF ya placement ya 1 page huko[emoji23][emoji23][emoji23]
Saivi sijui kasi yao imekuwaje,UTUMISHI YA SASA INAKATISHA TAMAA.
wakati naanza Harakati za kufuatilia huu Uzi au marafiki zangu walionizunguka asilimia kubwa walipfanya Oral wakipata kazi.
Lakini nilippingia mimi leo naongea hii mwezi wa nane hata database yangu haijaguswa....
Hawa psrs sijui nini shida, wanadai tasisi inayo toa tangazo ndo zenye shida kuchelewesha kuita watu kazini
Aise kesho kwenye dimba tena!![emoji23][emoji23][emoji23]Tunaoenda kesho kukandwa tujuane..
Vuta subira uje utupe huu mrejesho
saSiku ukipata placement ndio utajua kuwa PSRS hawakuwa wanaongopa.
Vuta subira uje utupe huu mrejesho
Mimi ninacho shangaa ni kwanini wasiweke sheria au kanunu kuwa tasisi inayo itaji kuendeshewa usahili kupitia psrs kama ikileta tangazo iwe tayali isha weka mambo sawa ili watu wakifanya oral wasicheleweshe kuitwa, kuanzia mwiki mbili hadi miezi miwili mwisho kuliko kukalisha watu hadi miezi sita bila kuita hata mtu mmjo, bora wawaite idadi inayo takiwa kulingana na tangazo afu wanao baki waendelee kusubiri data base itende miujizaSiku ukipata placement ndio utajua kuwa PSRS hawakuwa wanaongopa.
Vuta subira uje utupe huu mrejesho