Ahsante sana mkuu, kuwa na subira inaweza kuwa kama mimi ambapo nilihisi nimekandwa ila kumbe walikuwa bado hawajawekaHongera sana kaka .Mimi nahisi nishakandwa ,ila nasubiria pdf nijue nimepata ngapi huko...
Kuna vile vimachozi vya furaha utavihisi vinalowanisha macho kiani hivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]That feeling,ushakata tamaa haupo alafu unajikuta ndani
Hahahaaa.Mzee ngoma ilienda kuchekiwa kwenye VAR ?
Maana tulikua tushatandika maturubai kwa ajili ya matanga...
Ndo tunawait huo mzigo.Naomba kuuliza hivi afsa biashara ndo hatuitwi tena ama mana sielew
hongera sana mkuuKuna vile vimachozi vya furaha utavihisi vinalowanisha macho kiani hivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenyezi mungu awe nawe.Target yangu ni angalau niingie kanzidata, ngoja nikapambane
VAR check π»β½βοΈHahahaaa.
linesman alitaka kunihujuma, VAR ikapindua meza
Mdaa sasa ukapambane.. maan umechoma sana nauliHahahaaa.
linesman alitaka kunihujuma, VAR ikapindua meza
Safi prokMaswali yanakuwa matano, la kwanza likiwa hilo la kutell about yourself, then manne ni according to your professional.
Kwenye land officer niliulizwa maswali yafuatayo
1. Mention five laws/acts dealing with land in Tanzsnzia
2. How will you solve the problem of land registration in Tanzania
3. Five factors which determines the cost of land
4. How will you solve land conflicts
Oral ya pili ilikuwa Legal Officer niliulizwa maswali yafuatayo
1. Mention 3 types of tortuous liability
2. Mention five instruments of legislative drafting in Tanzania
3. Mention five stages where you can tender exbihits
4. Five ways of discharging a contract
So mnaweza kucompare na kwenye kada yenu kuforesee which types of questions can come
Hongera sana bro. Hakika Mwenyezi Mungu ametenda. Nenda kapeperushe vyema benders ya wakandwaji pale Asha Rose Migiro. All the best chiefHABARI ZA HIVI PUNDE:
Hatimaye kipofu kaona Mwezi, hii ni sherehe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Selected for Oral Interview.
Kumbe kunakuwaga na raha hivi, halafu hamsemi...
wizy niazime suti yako nikawande tena kwenye hatua ya mwisho.
Prok usisahau kuja na mwavuli ili suti ya wizy isije ikapauka na joto bure[emoji3][emoji3][emoji3]
Tupeane areas of concentration wadau
Kwanza kabisa swali la kwanza Tell us about your education backgroundKatika hili nakutegemea mkuu.
Naomba uanze kutema madini muhimu niishi nayo
Kwanza kabisa swali la kwanza Tell us about your education backgroundKatika hili nakutegemea mkuu.
Naomba uanze kutema madini muhimu niishi nayo
Dah sikua na MB Toka Jana jioni ila now ndo naingia online nimesoma comment zote mpka hapa kwako mwanzo nilisikitika sana baada ya pork kusema kwake selected for oral then wewe ukasema wamekukanda dah aiseee ila now naona hii comment ukweli kutoka moyoni mkuu furaha niliyopata hapa haipishani na siku nimeiona jina LANGU kwenye pdf ya kuchukua barua dah hongera mkuuHABARI ZA HIVI PUNDE:
Hatimaye kipofu kaona Mwezi, hii ni sherehe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Selected for Oral Interview.
Kumbe kunakuwaga na raha hivi, halafu hamsemi...
wizy niazime suti yako nikawande tena kwenye hatua ya mwisho.
Prok usisahau kuja na mwavuli ili suti ya wizy isije ikapauka na joto bure[emoji3][emoji3][emoji3]
Ndo ukubwa mzee tugange yajayoDah kukandwa sio poa kbsa aisee hasa pale mkandaji anapo amua kukata mark 1 juu yako π«π«π€¦ββοΈ
Kbsa mzee hope next time....Ndo ukubwa mzee tugange yajayo
gud naamini watapitia humu watajua pakuanziaMaswali yanakuwa matano, la kwanza likiwa hilo la kutell about yourself, then manne ni according to your professional.