Kea uzoefu wangu na wenzangu ambao wana kazi sasa hivi
Kwanza vaa vizuri, hapa namaanisha uwe smart, kuanzia juu hadi chini. Suti angalau au kama huna basi ata shirt official na surual plus viatu vya kufunika sio sandal.
Swali la kwanza always linakuwaga tell us about yourself, hapa utaongea ur introduction, ur education inshort atleast anzia level ya chuo, na professional experience. Ila wakisema ur education history and professional history, hapa tell about ur education background inshort labda kuanzia primary till where u are na professional background sehem ulipofanyia kazi na internship. Nakazia inshort, ukitaka kuelezea kingereza kitakutupa mkono. Mimi ndivyo najua hivi.