Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mh.Waziri Simbachawene..
Kitaa ni kwa moto ....Inamaana hamtaki vijana wenu angalau tupate furaha ya Pasaka kwa kuachia pdf nzito kwel πŸ˜ͺπŸ˜ͺ......Tukose Pesa na hata Furaha pia mtunyime....
 
Mh.Waziri Simbachawene..
Kitaa ni kwa moto ....Inamaana hamtaki vijana wenu angalau tupate furaha ya Pasaka kwa kuachia pdf nzito kwel πŸ˜ͺπŸ˜ͺ......Tukose Pesa na hata Furaha pia mtunyime....
Yaan watuonee tu huruma
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usije ukasema sikukumabia
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Uwekezaji mkubwa sana huu hahhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…