Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwahiyo wameamua kufungia Pasaka kwa mkeka wa robo page....😙😙
Bado safari ni ndefu kwa wasaka ajira
 
Mimi nimekua katika ukuaji wangu bibi na babu walikuwa wakinipa hadhili za vigano mwisho wa hadithi ikiisha walikuwa wanamalizia neno hili kuwa “MWENYE SHIBE AIJUI NJAA YA MWENZAKE(MWENYE NJAA)”, Nilikiwa nashindwa kuelewa why wanasema hivyo kila siku ila baadaye nikaja kujua maaana halisi, kweli Tanzania ina watu wa ajabu sana, na hivi ile kauli ya kusema namuachia Mungu ivi hamjuagi imeficha mambo mengi nyuma ya pazia😁, ila haina shida wazee wengi sikuizi wanazidi kufa sana so wakiisha tutabaki vijana wenye maalifa na ukiangalia kijana ndo kila kitu na nguvu katika hii dunia, so mfumo itakawa sawa wazee wasio kuwa na malifa ya zida na kujua njaa za binadamu wenzao wakifa wote, sijui nimeeleweka!

Hakuna kitu kibaya kama chuki katika masuala ya ajira maana huiondoa haki, usawa, heshima, utulivu, uwajibikaji katika taifa la mwenye haki, na mwisho wa siku taifa linaenda katika migogoro ya nafisi na mwisho wa siku kulipasua taifa😭😭😭,
Watumishi wengi wanafeli suala la uajibikaji na kuwa integrant na intelligence,

Kumbukeni vijana hawa wanaojitengenezea chuki sababu ya udhaifu mnao onesha kumbukeni wesoma fani mbalimabli, kwa dunia ya sasa huoni italeta sifa mbaya kwa taifa, je wao vijana wakiaza kutumia mbinu zoa na marifa yao katika kulibomoa taifa hivi munafikili Nguvu inayo linda taifa itaweza kuizidi hakili ya wenye marifa?

Inabidi hii nchi tuacheni siasa zisizo na vitendo chanya, ubabaishaji, kutumia nguvu bila maarifa, vyeo na n.k. Bali tutumia uwezo na ufanisi wa hali ya juu ili kusaidiana katika taifa la mwenye haki,
Ishort inaboa sana ukiangalia leadership style ya sector tasisi, vyombo vya ulinzi na usalama, mabalaza na wizara/idara nyingi inakela na tunaishia kusema Mungu saidia:

We are tired

Ni Kweli yapo mema yanayo fanyika ila ukija katika tathimini ya mema na mabaya, kila mwenzi au mwaka mabaya ndo mengi kuliko mema kwamjubu wa hisabati hapo tunawaweka katika group gani kama sio la ubaya!
 
msijali.Huu mfumo wa kielectronic uliharibu system kidogo kwa hiyo walikua wanajaribu mitambo kwanza na watu wa halmashauri dude lenyewe litakuja punde si punde maana wameshaconfirm kuwa system iko safi.hakikisha bando linafika 10gb otherwise utaishia katikati..
 
Afu kitu cha hovyo ni pale watumishi sekarini tunao wategemea kama viongozi katik jamii flani afu wanakuwa na interest zao na kuvimbiana afu tunao umia ni sisi raia wa kawaida haya masuala ya ajira wakatiki mwingine pia tunalaumu prsr ila nyamkini kuna changamoto hata huko mawizarani, na tasisi mbalimbali, psrs wawe makini na wasikubali fedhea maana lawama ni juu yao maana raia anajua psrs ndo chombo kinacho simamia mchakato wote wa ajira, pili kama psrs imepewa dhamana ya kuendesha michakato yote yajira why isiweke sheria ndogo au kanunu juu ya tasisi au idara hata wizara na vyombo vingine juu ya taratibu zao za kupokea tangazo, kuendesha usahili wa haki, kuita watu kazini kwa wakati, ili watu wote wajue siku tarehe kanunu na uhitaji watu why mambo yafichwe fichwe, kwanini wasisikilize maoni ya watu mbona walipo jenga mfumo wa ajira portal mwaka 2014 walichukua maoni ya wadau na hata hata walipo jenga mfumo mdogo ndani ya ajira portal wa aptitude test walikusanya mawazo kwa wadau wa ajira kwanza mwaka 2023 maana ndo walengwa why saivi hawatendei kazi mawazo ya wadau juu ya placement, stutas, uwazi, kuwahi kwa usahili na placement, kutia takwimu za ukweli katika suala la ajira, kuondoa siasa katika ajira na kuweka uwazi na ukweli na haki na sheria dhidi ya tasisi au vyombo au idara wizara na angence za serikali juu ya mchakato wa ajira zidi ya sababu zinazo kwamisha na kuleta chuki na migogoro baina ya wasahiliwa(wadau wa ajira), fanyieni kazi hizo wekenes zenu!
 
msijali.Huu mfumo wa kielectronic uliharibu system kidogo kwa hiyo walikua wanajaribu mitambo kwanza na watu wa halmashauri dude lenyewe litakuja punde si punde maana wameshaconfirm kuwa system iko safi.hakikisha bando linafika 10gb otherwise utaishia katikati..
😆😆😆😆😃😃😃
 
Back
Top Bottom