Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Daaah mood yote imekata yaniii,daah npo naubembeleza moyo utulie na usahau kwa muda,maana ss hii ndo only option imebaki malalamiko yetu km tumefungiwa ktk chumba tunapiga kelele tu na wakutusikia hayupo. Nataman ata kwny web yao sitak kuingia kila muda😂😩😂 nmekoma mimi
 
udabada gazi tu siku boja usijali
 
MDA & LGA wameita watu uko....usaili mtandaoni, ngoja tusubiri kupangiwa vituo
 
Hivi na mimi niendelee kuwa na matumaini? Au ndo ilishakua baba jeni BYE BYEEEEE,maana kwenye app status inasema Selected for oral lakini web inasema Shortlisted
 
hapo kwa mujibu wa maofisa utumishi wa jamii forum mambo si mabaya ila ikichenji sasa ikawa not selected for oral hapo inakua denja.. 🤣 🤣
🤣🤣🤣🤣 Duuh hatar sana, yaani kila siku nilikua naingia sielewi elewi yan sas hapo karoho kataanza kudunda dunda
 
Hivi na mimi niendelee kuwa na matumaini? Au ndo ilishakua baba jeni BYE BYEEEEE,maana kwenye app status inasema Selected for oral lakini web inasema Shortlisted
Me naona tuendelee kusubiri pdf mambo ya status hay ni kujipa tu presha
 
Back
Top Bottom