El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
ikibdilika tu ikawa not selected for oral ujiandae kwa usahili ujao 🤣 🤣🤣🤣🤣🤣 Duuh hatar sana, yaani kila siku nilikua naingia sielewi elewi yan sas hapo karoho kataanza kudunda dunda
yaah ni kweli hivo vitu sio vya kuchungulia unaweza ukafa siku si zako🤣🤣Me naona tuendelee kusubiri pdf mambo ya status hay ni kujipa tu presha
Unamaanisha interview au nn?MDA & LGA wameita watu uko....usaili mtandaoni, ngoja tusubiri kupangiwa vituo
Nashukuru sana kwa ujumbe huu na mm ndo nilikua najiuliza Sasa apa ..hii aptitude test imekaaje maana Ile ya takukuru ilikua very technical mzee 😂😂 yani ukienda kichwakichwa unakandwa ..Bora watoe kwenye kada husika na pia kulingana na Majukumu ya kazi itakua poa Sana ..Jamani mtakao enda usahili jueni kuwa hii aptitude ya utumishi ni tofauti na aptitude zingine kama mnazo ziona mtandaoni na za takukuru!, eti ni maswali ya numerical, gramer, tens, reasonable, virtual, na n.k no, Haya ya utumishi ni ya kozi/fani au professional yako ndugu yatakuwa yako kwa mfumo wa kujaza nafasi, multiple choice
Walisema juzi Kati hapa usaili kwa njia hii ya Aptitude test utaanza kwa maofisa Tehama.Ivi watu wa Tehama waliyo fanya usahili mwezi wa kumi na moja oral wameisha database kuachilia ili idadi iliyo takiwa sawa walisha pangiwa sasa hivi ni kweli hakuna walio faulu na kubaki database!, maana mwajiri ni huyuhuyu mmoja MDAs & LGAs, naona tena walitoa tangazo la kazi na wamewaita watu usahili wa kada hizohizo?, au hawakufaulu?
Wabobezi wa mambo ya status wa jamii forum walisemaHivi na mimi niendelee kuwa na matumaini? Au ndo ilishakua baba jeni BYE BYEEEEE,maana kwenye app status inasema Selected for oral lakini web inasema Shortlisted
Mbona Kuna watu wameitwa kazin na status zao zmebak vle vle toka walivyotoa kweny oral ni selected for oralWabobezi wa mambo ya status wa jamii forum walisema
1. Ikitoka Selected for oral na kwenda Shortlisted - utaitwa kazini muda si mrefu
2. Ikitoka Selected for oral na kwenda not selected for oral- Baba Jane bye bye😅😅
NB: hakuna ushuhuda wa aliyepata placement ikiwa status yake ikitoka selected for oral na kwenda not selected for oral.
InterviewUnamaanisha interview au nn?
Hao no sawa shida ni ikibadilika na kusema not Selected for oral Wakati ulikuwa selectedMbona Kuna watu wameitwa kazin na status zao zmebak vle vle toka walivyotoa kweny oral ni selected for oral
mimi naamini kwenye status kuna ukwelo asilimia kubwaHayo mambo yana ukweli asilimia 99.99.
status ikibaki selected for oral jipe moyo ila ikiwa not selected baba jane bye bye 👋Mbona Kuna watu wameitwa kazin na status zao zmebak vle vle toka walivyotoa kweny oral ni selected for oral
Daaah na iwe ivo,ila placement za lcas/mdas znachelewastatus ikibaki selected for oral jipe moyo ila ikiwa not selected baba jane bye bye 👋
Wanazingua Sana hawaDaaah na iwe ivo,ila placement za lcas/mdas znachelewa
Kabisa ukweli ni asilimia karibia 100. Kuna mwamba alikuja na stori za kuwapigia simu psrs eti wakaniambia hakuna uhusiano. Nafikiri mpaka muda huu hajawahi lizungumzia tena suala la status.mimi naamini kwenye status kuna ukwelo asilimia kubwa
Ukiona idara ya serikali yoyote ina ukiritimba usio wa kawaida elewa kuwa kuna ubadhirifu hapo.Wanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
Upo sahihi kabisa Madame Faiza.Ukiona idara ya serikali yoyote ina ukiritimba usio wa kawaida elewa kuwa kuna ubadhirifu hapo.