Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanyau teuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi kama ifuatavyo:

i) Amemteua Mhe. Deogratius John Ndejembi (Mb.) kuwa Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu).

Kabla ya uteuzi huu Mhe. Ndejembi alikuwa Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI). Mhe.Ndejembi anachukua nafasi ya Mhe. Prof. Joyce Lazaro Ndalichako ambaye uteuzi wake umetenguliwa.
 
Naona kama vile jobless wameanza kutusikia mama Yuko kazini. Mpaka waseme kitaa pachungu sana
 
🤣🤣 Boss naendelea kujaa kifua sasa nikiona bado hamna mabadiliko ila kwa jinsi nilivyojibu kipindi kile nadhani itabadilika tu😅
 
afadhali
 
🤣🤣 Boss naendelea kujaa kifua sasa nikiona bado hamna mabadiliko ila kwa jinsi nilivyojibu kipindi kile nadhani itabadilika tu😅
ni swala la muda tu ikifika siku utashangaa hii interview si nilishafanyaga mbona nimekuwa not selected for oral tena au niliianya interview sio yangu. kumbe tayaaaar..
 
Ukiwa jobless huwezi wazia hata sikukuu yoyote, jana nilikua natembea tembea town, mala naona karakana ni nyingi, halfu watu wengiii mpaka nikashangaa kwamba lilikuwepo tukio gani?😅kumbe watu walikua kwenye maandalizi ya leo bwana, Kilichonisaidia kujua leo ni pasaka ni baada kuona baadhi ya klabu za mpira zikiwatakia pasaka njema mashabiki zao, 🤣 Ila yote kwa yote majobless wenzangu haya yote yataisha tu na sisi tutakuja shekherekea hizi siku na siku zote huwa nasema Mwenyezi Mungu ni wa woteee🤗 NAWATAKIA PASAKA NJEMA NDUGU ZANGU🎉
 
🤣🤣🤣🤣 Jobless tunateseka Sana mkuu nakuja shtuka Leo pasaka baada ya kutumiwa message na kampuni za mawasiliano kwamba wanawatakiwa wewe na familia yako pasaka njema. 🤣🤣
 
ni swala la muda tu ikifika siku utashangaa hii interview si nilishafanyaga mbona nimekuwa not selected for oral tena au niliianya interview sio yangu. kumbe tayaaaar..
😂😂😂😂baba jeni bye bye yowee foeverebadeee😂
 
😂😂😂😂baba jeni bye bye yowee foeverebadeee😂
washenzi sana hawa jamaa yani siku umeamka zako una bando la kutosha kila ukiangalia placement huoni kitu basi unajisemea ngoja nichungulie status unakuta kitu kilishabadilika siku nyiiingi.🤣 🤣
 
🤣🤣🤣🤣 Jobless tunateseka Sana mkuu nakuja shtuka Leo pasaka baada ya kutumiwa message na kampuni za mawasiliano kwamba wanawatakiwa wewe na familia yako pasaka njema. 🤣🤣
🤣🤣Halaf wao hawayaoni haya sijui au labda hawajawahi pitia maisha haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…