Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Application ya ajira portal inafunguka kwenu wakuu, Kwangu naambiwa under maintenance use https//:ajira.go.tz
 
Wakuu mliofanya jana usaili kidigitali karibuni mtupe hints za mfumo
 
Jamani jamani Kuna kitu hakiko sawa kwenye selected for Oral yangu kwenye web🧐🧐🧐🧐
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…