Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 858
- 1,120
Aah wap ngma badoHongera kwa walio lamba asali Pinacoladee vip umekumbukwa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aah wap ngma badoHongera kwa walio lamba asali Pinacoladee vip umekumbukwa??
Bora ata 30 lkn isikwe Kwa interval kubwa kubwaPdf lenyewe watusijui 30 kwa namna hiyo hatutafika nikama kiinimacho na kupunguza lawama[emoji16][emoji16][emoji16]
Yah ht kwangu naona ipo hvyImebadilika rangi kote siyo Kama ya awali isipokuwa neno Selected
Apps au web mkuuWakuu mm nlikandwa mwezi wa pili mwaka huu, leo naona rangi ya status yangu imebadilika na kuwa kama zambarau hv. H n kitu gn au n mfumo umecheza.?
Bado haifunguk,nadhan ikikaa sawa lazma kuna jambo litatokea sio bure😅Wakuu apps ya Ajira portal inafunguka? Kwangu bado iko under maintaince haifunguki
Hilo jambo ndio linatia pressure wasije wakapita na selected zetu for oralBado haifunguk,nadhan ikikaa sawa lazma kuna jambo litatokea sio bure😅
Kwenye web yako kuna mabadiliko yoyote?Bado haifunguk,nadhan ikikaa sawa lazma kuna jambo litatokea sio bure😅
Natumia web, sijawahi kutumia app.Apps au web mkuu
Call Center: 026 216 0350, +255739160350 || Email: ict@ajira.go.tz, malalamiko@ajira.go.tzNaomba namba ya mawasiliano PSRS
Hongera zake aseeMwanangu kashachomoka Tutorial Assistant (Civil Engineering).
jambo gani??Bado haifunguk,nadhan ikikaa sawa lazma kuna jambo litatokea sio bure😅