Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hongereni mliolamba asali...mkawe watumishi wema ...
bado bilabila
 
Wakuu mm nlikandwa mwezi wa pili mwaka huu, leo naona rangi ya status yangu imebadilika na kuwa kama zambarau hv. H n kitu gn au n mfumo umecheza.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…