Kweli mkuu, hakuna namna. Maandalizi ya nguvu yanaanza sasa.Piga shule mzee kisawa sawa
Yes huwa ni swali la mtindo huu yani cha muhimu asipanick tu apitie challenge na jinsi yakuzisolve kwamfano hapo challenge ilikuwa kifaa kimefail so ni jinsi gani atasolve hilo tatzo la kifaa kufail ili afanikishe kazi yake sasa ubaya wa afya hainaga kutunga hata challenge zake huwezi kutunga yaniNaona wizy anatoa hints nzuri za oral mie naongezea hapo kwenye challenge kama hutakutana na challenge jiandae na swali hili hapa
Qn
What are the consequences can occur when/if the work equipment seem to fail to function normal (5 point)
Kwa jinsi ulivyofika Dodoma na mazingira yalivyokuwa na kukesha unasoma stand trust hii nafasi unaenda kuichukua cha muhimu ni kumtanguliza Mungu mbele na kujiandaa kwa kupitia Ile Ile Act pamoja na kureview jobs descriptions kapambanie kombe ratio ya 1:3 inakuruhusu kuibuka kidedea.Mrejesho:
Kwakweli ni kwamba mimi kwa mara ya kwanza nilifika utumishi kwaajili ya written interview. Niseme tu nilifika Dodoma saa saba usiku kutokana na mazingira ya kusafiri kuwa magumu.Mara baada ya kufika sijuwa na sehemu ya kufikia,hivyo ilinilazimu nikeshe barabarani sehemu ambapo watu wapo muda wote.Asubuhi nilinunua maji nikanawa uso na kuchukua toyo mpaka UDOM.
Nilipofika nilihamaki uwingi wa watu! Nikasema Mungu hiki ni nini? Nikajisemea nimekuja kufanya nn huku? Nikiwa ninaonekana mshamba na upweke nisiye na hata rafiki wa kujadili naye chochote nikiwa nimesimama pembeni ya lecture theatre 1 kule college of business and education.
Baada ya muda walifika wasimamizi wakaanza kagua vyeti,nikafoleni nikaingia nikiwa na unyonge,ushamba,uchovu na usingizi mkubwa huku nikiwaza kuwa I am just trying.
Kweli paper ikaletwa,tukaelekezwa then tukafanya.Kiukweli ilikuwa NGUMUUUUUUUU! Ila inafanyika kwa wale wasomi na wafuatiliaji wazuri wa sera ya serikali katika utoaji wa mikopo kwa elimu ya juu.Ufanyaji wangu ulikuwa ni wa kujikongoja,huku nikihakikisha kila swali nagusa.
Nilijibu short and clear. Huku nikiwa nimekata tamaa. Ila kuna wanaume na wanawake haswaa waliomba hadi karatasi ya pili.Nilitoka na kuwahi stand nikapata chochote na kuanza safari ya kurudi kijijini kwetu nikiwa sina matumaini Yoyote.
Matokeo:
Leo nimeshikwa butwaa et nipo SELECTED FOR ORAL! Sikutegemea kabisa.Msimamo wangu ni kuwa nitarudi tena Dodoma kuwasikiliza maboss wakandaji live,nitakwenda KUJARIBU hiyo Oral.Sijawahi simama kwaajili ya Oral ila niwakute hukohuko hao wakandaji.Nikikosa basi,nitashukuru Mungu kwa kila kitu.
Kila lakher kwa woteeee mnaopigania huko,Mungu awafungulie njia.
HahahaaaaHongera[emoji1431]
Sisi 9 pamoja na yule wa Zanzibar. Kikubwa zaidi hii nafasi nliopo sikutegemea aisee, Mungu ni mkuu, kama kawaida kwenye pdf nmeanza katikati kwa walio selected sijajiona nashtuka mbona hivi sipo kumbe nipo bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana mkuu, nimeimprove tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We ni genius mkuu
😂😂😂😂😂😂Asaivi mpaka utumishi wametuzoeaHapana mkuu, nimeimprove tu.
Nilianza kwa mwendo wa kono kono tangu tarehe 6 septemba.
Hii inanikumbusha kipindi nipo Advance nilikuwa napiga pepa(almaarufu series) za Physics kwa Mtiga pale Mapambano(Mwenge).
Siku ya kwanza nikaenda nikachezewa chache ila nilikuwa top 10(alikuwa na utaratibu wa kubandika matokeo ya top 10 ili kutuhamasisha).
Sikukataa tamaa badala yake nilikaa chini nikajiangalia palipo na mashimo, nikaanza kufuki.
Siku zikaenda hivyo hivyo napiga series, hatimaye siku moja nilikanda hatari. nikawa wa kwanza. Siku hiyo shuleni nilijizolea umaarufu hadi darasa la PCM wakanijua[emoji3][emoji3][emoji3]
Good memory!!
Wapo walifanya oral septemba 8 bado wasugua benchi kusubiri placementsHata TANZANIA AIRPORT AUTHORITY (TAA) hawajatoa placements hadi sasa toka usaili wa mahojiano ufanyike tar 17 sep 2022. Haijulikani suluhisho ni lini litatolewa na chanzo cha ucheleweshwaji majibu ni nini??
Hongera sana, Muumba kakufungulia njia.Mrejesho:
Kwakweli ni kwamba mimi kwa mara ya kwanza nilifika utumishi kwaajili ya written interview. Niseme tu nilifika Dodoma saa saba usiku kutokana na mazingira ya kusafiri kuwa magumu.Mara baada ya kufika sijuwa na sehemu ya kufikia,hivyo ilinilazimu nikeshe barabarani sehemu ambapo watu wapo muda wote.Asubuhi nilinunua maji nikanawa uso na kuchukua toyo mpaka UDOM.
Nilipofika nilihamaki uwingi wa watu! Nikasema Mungu hiki ni nini? Nikajisemea nimekuja kufanya nn huku? Nikiwa ninaonekana mshamba na upweke nisiye na hata rafiki wa kujadili naye chochote nikiwa nimesimama pembeni ya lecture theatre 1 kule college of business and education.
Baada ya muda walifika wasimamizi wakaanza kagua vyeti,nikafoleni nikaingia nikiwa na unyonge,ushamba,uchovu na usingizi mkubwa huku nikiwaza kuwa I am just trying.
Kweli paper ikaletwa,tukaelekezwa then tukafanya.Kiukweli ilikuwa NGUMUUUUUUUU! Ila inafanyika kwa wale wasomi na wafuatiliaji wazuri wa sera ya serikali katika utoaji wa mikopo kwa elimu ya juu.Ufanyaji wangu ulikuwa ni wa kujikongoja,huku nikihakikisha kila swali nagusa.
Nilijibu short and clear. Huku nikiwa nimekata tamaa. Ila kuna wanaume na wanawake haswaa waliomba hadi karatasi ya pili.Nilitoka na kuwahi stand nikapata chochote na kuanza safari ya kurudi kijijini kwetu nikiwa sina matumaini Yoyote.
Matokeo:
Leo nimeshikwa butwaa et nipo SELECTED FOR ORAL! Sikutegemea kabisa.Msimamo wangu ni kuwa nitarudi tena Dodoma kuwasikiliza maboss wakandaji live,nitakwenda KUJARIBU hiyo Oral.Sijawahi simama kwaajili ya Oral ila niwakute hukohuko hao wakandaji.Nikikosa basi,nitashukuru Mungu kwa kila kitu.
Kila lakher kwa woteeee mnaopigania huko,Mungu awafungulie njia.
Ahsante sana mkuu kwa muongozo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh jobless umepambana vyakutosha hii ni yetu mzee we pita mule nilivyokwambia hawachomoki na make sure kila kitu ukisoma kitafutie point tano kwenda juu Yani wakiuliza challenge lazima watataka tano kwenda juu na hili swali la challenge utalikuta mzee kwenye afya halikosagi sasa pale watakuuliza ni vitu gani vitakukwamisha kufanya kazi yako ya auditing au watakuambia mazingira gani yanakwamisha kufanya auditing hapa ukiwa unazimesheni challenge taja na solution yake maana wanapokuajili wanategemea wewe utaenda kusolve vipi hizo challenge
Pia ujue documents au vitu gani inatakiwa uwe nayo kwenye kufanya auditing
Na ujue kuandaa auditing report na ujue components za hiyo report
N.b hii ni kwa kila post zingatie hizi mtanishukuru badae
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jobless kumbe genius afu hajiami ukute ndo namba moja hapo
Pole mkuu, na hongera kwa kupata uzoefu na kuimarika.Kwa masikitiko makubwa, nimeanguka katika usahili wa tatu,. Bunge, NAOT & HESLB. Ngoma ngumu. Mwaka huu ndo nimeanza apply psrs toka kuhitimu 2015.
Graph inapanda kwa rate ya taratibu sana, hii ndo inanipa tumaini. Bado nasubiri sahili nne; TPDC, ASA, MDA's&LGA's na TRA. Natumaini ntatoboa tu moja kati ya hizi zilizobaki, niachane sasa na maandalizi zima moto.
Wale mliofika hatua ya "Oral" niwatakie maandalizi mema, mkawe na "confidence" mbele ya pannel, mfanye vyema na kupata nafasi katika utumishi.
😂😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Namba 1 niliicha primary, kwingine kote nikawa mzee top 10 na kukandwa
Hadi wamenijua, J3 sitapata shida kwenye ukaguzi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asaivi mpaka utumishi wametuzoea
Hahahaaaaa sawa mkuu,kila lakher nawe pia.Hongera sana, Muumba kakufungulia njia.
Tukutane j3 Asha Rose Migiro
Pita nazo mzee isome na auditing vizuri usisahau mzee kama walitoa checklist basi soma na tabulation kwenye auditing utafanya audit kwa checklist au tabulation kwahiyo zisome zoteAhsante sana mkuu kwa muongozo
Mkono kwa mkono hadi kwenye mrija wa Asali[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwenye written walileta swali moja lilitaka tuandike check list ya Auditing ikiwa na kipengele cha swali na maelezo yake. Nilitembea nalo kiulalo ulalo maana huo mfano wa Check list niliusoma kwenye guideline fulani niliwahi kutuma cover yake hapa.
Huko nitapita tena kujikumbusha technics
Muandishi mzuri, interesting!!hongera Sana brooMrejesho:
Kwakweli ni kwamba mimi kwa mara ya kwanza nilifika utumishi kwaajili ya written interview. Niseme tu nilifika Dodoma saa saba usiku kutokana na mazingira ya kusafiri kuwa magumu.Mara baada ya kufika sijuwa na sehemu ya kufikia,hivyo ilinilazimu nikeshe barabarani sehemu ambapo watu wapo muda wote.Asubuhi nilinunua maji nikanawa uso na kuchukua toyo mpaka UDOM.
Nilipofika nilihamaki uwingi wa watu! Nikasema Mungu hiki ni nini? Nikajisemea nimekuja kufanya nn huku? Nikiwa ninaonekana mshamba na upweke nisiye na hata rafiki wa kujadili naye chochote nikiwa nimesimama pembeni ya lecture theatre 1 kule college of business and education.
Baada ya muda walifika wasimamizi wakaanza kagua vyeti,nikafoleni nikaingia nikiwa na unyonge,ushamba,uchovu na usingizi mkubwa huku nikiwaza kuwa I am just trying.
Kweli paper ikaletwa,tukaelekezwa then tukafanya.Kiukweli ilikuwa NGUMUUUUUUUU! Ila inafanyika kwa wale wasomi na wafuatiliaji wazuri wa sera ya serikali katika utoaji wa mikopo kwa elimu ya juu.Ufanyaji wangu ulikuwa ni wa kujikongoja,huku nikihakikisha kila swali nagusa.
Nilijibu short and clear. Huku nikiwa nimekata tamaa. Ila kuna wanaume na wanawake haswaa waliomba hadi karatasi ya pili.Nilitoka na kuwahi stand nikapata chochote na kuanza safari ya kurudi kijijini kwetu nikiwa sina matumaini Yoyote.
Matokeo:
Leo nimeshikwa butwaa et nipo SELECTED FOR ORAL! Sikutegemea kabisa.Msimamo wangu ni kuwa nitarudi tena Dodoma kuwasikiliza maboss wakandaji live,nitakwenda KUJARIBU hiyo Oral.Sijawahi simama kwaajili ya Oral ila niwakute hukohuko hao wakandaji.Nikikosa basi,nitashukuru Mungu kwa kila kitu.
Kila lakher kwa woteeee mnaopigania huko,Mungu awafungulie njia.
Aisee umetisha sanaNimeiona PDF nilikuwa bado sijaiona.
Kumbe battle halikuwa la kitoto aisee.
Sasa target yangu hapa ni angalau niingie kanzidata, then mengine wataamua wenyewe
Hongera mkuu,Tarehe ngapi unaingia Asha Rose Migiro?Eeeh aisee, sasa nikafue suti, nianze msuri upya maana hawa watu[emoji2955]
Usijali Kaka,uzuri humu tunapat experience ya kutosha sana,tunaona Wenzetu jinsi wameanguka mara nyingi na hatimaye wanasimama na kutembea Tena..naamini umepata uzoefu wa kutosha hizi.zinafotana Moja wapi lazima utatokea kwenye placement..marufuku kukata tamaaKwa masikitiko makubwa, nimeanguka katika usahili wa tatu,. Bunge, NAOT & HESLB. Ngoma ngumu. Mwaka huu ndo nimeanza apply psrs toka kuhitimu 2015.