Mwanangu kashachomoka Tutorial Assistant (Civil Engineering).
Lolote linaweza kutokea usiogope😂jambo gani??
Labda itakua na muonekano tofauti..adi marks za oral zitaonekana😂jambo gani??
Daah sikukuu anaila vzur,hongera zake sanaMwanangu kashachomoka Tutorial Assistant (Civil Engineering).
Uliwapata mkuu?na walikutatulia shida yako?Naomba namba ya mawasiliano PSRS
Duh mpk oral wanakanda...Ndg zetu wa ICT. Vitendo wanakandwa sana aisee. Mungu awatie nguvu
Duh huo ugonjwa mie naendea kuushinda aisee ni ugonjwa mbaya sanaKwanza Namshukuru Mungu Kuamkq salama. Baada ya hapo Nianze lile zoezi pendwa la kuangalia Portal na website kila Baada ya Nusu saa
Hamna jpya mkuuKwenye web yako kuna mabadiliko yoyote?
Wengine Aluta continua 💪Haya wa TANAPA kuna mkeka wenu huko
🥲DAAH KWELI JAUWengine Aluta continua [emoji123]
Hongereni mliolamba asali Mkawe watumishi wema......Haya wa TANAPA kuna mkeka wenu huko
BlessedEid Mubarak wasaka tonge
vp leo tutegemee pdf au..??Labda itakua na muonekano tofauti..adi marks za oral zitaonekana😂
🤣🤣🤣🤣utumishi kama ikiwapendeza andaeni bufee kwa ajili ya majobless pale asharose migiro mungu atawabaliki.AMEN