Native diaspora
JF-Expert Member
- Nov 19, 2020
- 265
- 458
Mbona[emoji848][emoji3]wafanyakazi wengi wa utumishi ni wasabato so kwa leo ingieni youtube tu..
Ngj tujipe jp moyo,tuzisubirZile me naisi kama tumepigwa hv maana kama zimebaki elfu 30+ Kwa miezi iliobaki hawawwzi chukua
Daaah unatuuaaa uku😅wafanyakazi wengi wa utumishi ni wasabato so kwa leo ingieni youtube tu..
Bado haifungukWakuu apps ya ajira portal inafunguka kwenu uko?
Labda kuanzia keshoLeo j2 wataachia pdf
mmhh labda la advertisement. 🤣 🤣Leo j2 wataachia pdf
Mmmh kesho ndo tuanze kusikiliziaLeo j2 wataachia pdf
Kaka mwezi wa sita Huooooooleo naona simu na pc zinaomba kesho isifike [emoji1787] [emoji1787]
Mimi lidata base langu mwezi wa 8 ....leo naona simu na pc zinaomba kesho isifike [emoji1787] [emoji1787]
usijali tunaweza tukanyanyua mashabiki dakika za majeruhi..🤣🤣Mimi lidata base langu mwezi wa 8 ....
alafu database isikuchanganye wala nin watu wanaitwa wakiwa walishasahau hadi mwaka waliofanya interviw.database sio mwaka mmoja wala miwili we omba status isibadilike tu🤣🤣Mimi lidata base langu mwezi wa 8 ....
alafu database isikuchanganye wala nin watu wanaitwa wakiwa walishasahau hadi mwaka waliofanya interviw.database sio mwaka mmoja wala miwili we omba status isibadilike tu🤣🤣
hawana jipya hao.Psrs wameandaa press conference kesho tar 15,tutawasikia wanavyojinadi
Bila pdf nzito la Taasisi walizojitenga ni sawa wanachezea kodi zetu posho wanazolipana.....!!!Psrs wameandaa press conference kesho tar 15,tutawasikia wanavyojinadi
Wapumbavu hawa ,huo muda wa kufanya press conference za kijinga kama hizi huwa wanaupata wapi ,badala ya kuwekeza akili ,juhudi na resources katika kuongeza ufanisi kwenye mifumo yao na kuondoa madhaifu ?Psrs wameandaa press conference kesho tar 15,tutawasikia wanavyojinadi