Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

mie kwangu mbona inafunguka cheki na bando 🤣 🤣
Application inagoma kufunguka ......naona wanaifanyia maboresho...ilikuwa na kasoro nyingi utazani Utumishi haina IT kitengo cha software.....
Mungu tusaidie Wanao maana tulipo sasa katika nchi ni mwendo wa mapambio
Ukigeuka uku unasikia Mh.Waziri ajira 44000 😀😀😀
Ukigeuka uku unasikia Eng.Tehama PSRS tunaboresha usail wa Online 😀😀😀
Hatuna mtetezi zaidi yako Mungu kuondoa sitofahamu hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…