Gotzon
JF-Expert Member
- Feb 25, 2021
- 244
- 305
Mmh! Hawa jamaa hawatabiriki aisee, watakushangazaKumekucha jamn Leo pdf 100% uhakika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh! Hawa jamaa hawatabiriki aisee, watakushangazaKumekucha jamn Leo pdf 100% uhakika
ndugu yangu nikitoboa itabidi niandike kitabu. 🤣 🤣Kimulimuli kimezima, amka kuitesa simuuu🤣
Hii sio ramli eeh😂Kumekucha jamn Leo pdf 100% uhakika
😂😂waziachie sasa,uyu mwnye pdf la mkeka anabana sana..ni mnaa kwakwelKimulimuli kimezima, amka kuitesa simuuu🤣
😂😂😆😆ndugu yangu nikitoboa itabidi niandike kitabu. 🤣 🤣
mie kwangu mbona inafunguka cheki na bando 🤣 🤣Ivi mbn portal yao nayo mbn haifunguki,ni kwamba mpk leo wanachokifanyia matengenezo ni nini,ao IT wao wanafail wap,ata jobless wa It wangempa deal basi 😅
hii wiki mpaka jmosi watakua washatoa tuakikishe tu bando halikati mpaka simu ziwake motoHii sio ramli eeh😂
Application inagoma kufunguka ......naona wanaifanyia maboresho...ilikuwa na kasoro nyingi utazani Utumishi haina IT kitengo cha software.....mie kwangu mbona inafunguka cheki na bando 🤣 🤣
🤣🤣🤣🤣ndugu yangu nikitoboa itabidi niandike kitabu. 🤣 🤣
🤣🤣🤣hii wiki mpaka jmosi watakua washatoa tuakikishe tu bando halikati mpaka simu ziwake moto
Yaani! Dah!😂😂waziachie sasa,uyu mwnye pdf la mkeka anabana sana..ni mnaa kwakwel
Aah we screenshot utume😂mie kwangu mbona inafunguka cheki na bando 🤣 🤣
Aya bhana ngj tuendelee kusubir
Hii kauli ni ya Mara ya Pili...
Elimu na afya buyu kwao kada zingine je?
Pitia vinzuri kusoma Kiongozi....Elimu na afya buyu kwao kada zingine je?