wamesababisha nimekopa voda mpaka deni limekua kubwa nimeshindwa kulipa nimeitafuna laini..Mb znaisha Kwa ajili ya PSRS
wengine tunapresha atakuja kutuua 🙌Usiwe unasema pdf ipo hal ya kuwa haipo unatuweka roho juu
wengine tunapresha atakuja kutuua 🙌
Leo imeshaisha hapo ni mpk wiki ijayoLeo waachie pdf zito Sana lenye mb zake za kutosha
Yani jobless mpaka tuseme,bado hatujasemaLeo waachie pdf zito Sana lenye mb zake za kutosha
Shukrani kaka.Pitia vinzuri kusoma Kiongozi....
Inamaana kada nyingine 24,000[emoji15][emoji15]
Haibadiliki bossKwahy wakuu naomba kuuliza, ikiwa selected for oral interview Siku Ukiwa kwenye placement hy status inabadilika au na inaandikwa nn.?
Jaribu kuwa siriaz kidogommelia weee haya sasa mungu kaskia kilio chenu kuna pdf uko
Hapo na zile ajira za muda za kuandaa upigaji Kula zinajumulishiwa humo?!
🤣🤣🤣 Dah mkuu nini tena hii 😀😀 jobless tutashaa sio kidogo 🤣🤣🤣mmelia weee haya sasa mungu kaskia kilio chenu kuna pdf uko
Nahisi PSRS Kwa ukimyaa huu tutegemee suprise, kimya kingi kina mshindo tujaze Tu GB za kutosha kwenye simu maana pdf litakalo achiwa NI refu Sana, tusubirie la karibu mgeni waziri mpya wa ajiraYani jobless mpaka tuseme,bado hatujasema
jamaa anashtua kishenz 🤣 🤣🤣🤣🤣 Dah mkuu nini tena hii 😀😀 jobless tutashaa sio kidogo 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣Tunapitia wakati mgumu asee dah sio mchezo atakuwa kaona zile job advert anajua ndo placement zenyewejamaa anashtua kishenz 🤣 🤣
Kuwa mpole mkuu.utumishi wanazingua kishenz. matako yao
Thanks,ulishalamba asali mkuu?Huu uzi naona bdo una exist, kila la kheri champions✌️