Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 858
- 1,120
Captain upo naona ushaandaa na nauli 😂😆😆😆 Leo watalitoa mapema Sana siku nzuri huonekana asubuhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Captain upo naona ushaandaa na nauli 😂😆😆😆 Leo watalitoa mapema Sana siku nzuri huonekana asubuhi
🤣🤣🤣 Mkuu Acha Tu, tuombe Mungu ili pdf tuwepo nadhani hii ndo itakuwa safari ya Kwanza kuenjoy Ile kutoka moyoni.Captain upo naona ushaandaa na nauli 😂
Leo tukae kiimani zaidi lolote linaeza tokea.Sanaaa yanii,tatizo hawachelew kuchana mkeka awa
nilikua sina bando ndio nimejiunga.yaani nikajua jioni nitakutana na saplaizUko wapi?? Naona umepumzisha mtambo uo😂
Basi kaa kwa kutulia,washapiga ramli umu za kutosha jioni uhakika usikae mbali na simu yako😂nilikua sina bando ndio nimejiunga.yaani nikajua jioni nitakutana na saplaiz
😂😂😂kwa mwendo ule mmmh 🙌WATU KAMA HAMJAONA PDF! KILA MTU ANALIA KIVYAKE NOW
Daa we Acha tu💔Naweza kuja kufa uku najiona
Mlifanya lini mkuuKuna mwanangu kalamba asali, injinia wa madini alikuwa kipanga kweli kweli o-level na advance aliweka div 1 ya 7 PCM. Sema ujobless ulimnyoosha apa katikati. Tusikate tamaa wadau. Mie kwenye data base yangu naona wamenyofoa wawili Leo na tulikuwaga 159 😁😁 kwenye oral. Kada ilikuwa committee clerk.