Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 858
- 1,120
Captain upo naona ushaandaa na nauli ππππ Leo watalitoa mapema Sana siku nzuri huonekana asubuhi
π€£π€£π€£ Mkuu Acha Tu, tuombe Mungu ili pdf tuwepo nadhani hii ndo itakuwa safari ya Kwanza kuenjoy Ile kutoka moyoni.Captain upo naona ushaandaa na nauli π
Leo tukae kiimani zaidi lolote linaeza tokea.Sanaaa yanii,tatizo hawachelew kuchana mkeka awa
nilikua sina bando ndio nimejiunga.yaani nikajua jioni nitakutana na saplaizUko wapi?? Naona umepumzisha mtambo uoπ
Basi kaa kwa kutulia,washapiga ramli umu za kutosha jioni uhakika usikae mbali na simu yakoπnilikua sina bando ndio nimejiunga.yaani nikajua jioni nitakutana na saplaiz
πππkwa mwendo ule mmmh πWATU KAMA HAMJAONA PDF! KILA MTU ANALIA KIVYAKE NOW
Daa we Acha tuπNaweza kuja kufa uku najiona
Mlifanya lini mkuuKuna mwanangu kalamba asali, injinia wa madini alikuwa kipanga kweli kweli o-level na advance aliweka div 1 ya 7 PCM. Sema ujobless ulimnyoosha apa katikati. Tusikate tamaa wadau. Mie kwenye data base yangu naona wamenyofoa wawili Leo na tulikuwaga 159 ππ kwenye oral. Kada ilikuwa committee clerk.