Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Uyo mshikaji wangu aliepata tume alifanya mala ya kwanza akaingia oral lkn akuitwa mwajiri alikuwa uyo uyo tume, baadae tena akaingia oral kupitia stamico now kapangiwa tume Sasa sijui ni database au usaili wa stamico
Ulikuwa usaili wa tume ulifanyika tar 8/3 pamoja na stamico stamiko hawajatoa bado hope alifanya usaili wa tume na sio stamico,

Tume Walihitaji watu 29 mining engeneers ambao walienda moja kwa moja oral hawakufanya written.
 
Watu toka mwenzi wa saba na mwengine wa kumi na moja mwaka 2023 oral walifanya hadi now bilabila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…