Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Naona wizy anatoa hints nzuri za oral mie naongezea hapo kwenye challenge kama hutakutana na challenge jiandae na swali hili hapa

Qn

What are the consequences can occur when/if the work equipment seem to fail to function normal (5 point)
Huezi ulizwa swali kama hili. 100% maswali yatabase kwenye knowledge ya kazi husika.. kama ni audit ni ausit Mwamwi.. kama ni HEslb ni heslb mwamwi..
 
Hilo swali katoa mfano kwenye kada yake.

Sasa kila mtu kulingana na kada yake inabidi ifafanishe swali kama hilo
Mwifwa lizingatie hilo swali mzee hilo swali la challenge lipo utalikuta lakini uulizaji wake ndo huwa wanabadilisha tu ndo maana nikakwambia soma challenge na jinsi yakusolve ,kwamfano interview Fulani ya radiation waliuliza utafanya nini endapo itatokea radiation leakage kwenye kifaa (ambayo hii ni moja ya challenge ) kwahiyo hapo walitaka jinsi utasolve hiyo challenge,na interview ya juzi kati wakauliza utaje challenge utakazo kutana nazo wakati unafanya therapy ambayo jibu ndo hizo radiation leakages na mengine
-sasa kwa mfano wewe wa afya unapofanya audit pale kuna changamoto nyingi sana kwahiyo lazima ujue na jinsi yakusolve hizo ,sio afya tu hata wale wa geology
-na challenge zinakuaga zile ishu zinazokwamisha wwe kufanya duty zako kwahiyo kwakuongezea tu zisome hata zisipotoka hutapungukiwa chochote
 
Una uhakika mkuu hili swali nishaulizwa oral mbili
Huyu itakuwa hajawahi kufanya oral ,hili swali ni common sasa ndo maana nilimsisitiza mwifa apite nalo maana wanatoaga kimitego mitego sasa kama hujawahi kulipitia huchomoki wanakudaka
 
Huyu itakuwa hajawahi kufanya oral ,hili swali ni common sasa ndo maana nilimsisitiza mwifa apite nalo maana wanatoaga kimitego mitego sasa kama hujawahi kulipitia huchomoki wanakudaka
Kweli apitie tu hata lisipotoka fresh
 
Nasubiri mzigo mmoja tu wa orci huo uhakika naenda kuchukua barua nishaandaa na sutiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahahaha 🀣🀣 inataka wangapi mkuu na oral mlienda wangapi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚unajua experience kwenye hizi interview inasaidia sana mimi oral yangu ya kwanza kuingia nilikuwaga sijui wanaulizaje sasa sinikaenda nimejiandaa zile sijui what is your weakness na ile why we should hire you and not others
aseeh nilipigwa maswali mpaka nikajiuliza sasa mbona maswali niliyodhani watauliza hawajauliza hata moja
 
Hahahaha noma Sana mkando uliokutana nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…