Mwifwa lizingatie hilo swali mzee hilo swali la challenge lipo utalikuta lakini uulizaji wake ndo huwa wanabadilisha tu ndo maana nikakwambia soma challenge na jinsi yakusolve ,kwamfano interview Fulani ya radiation waliuliza utafanya nini endapo itatokea radiation leakage kwenye kifaa (ambayo hii ni moja ya challenge ) kwahiyo hapo walitaka jinsi utasolve hiyo challenge,na interview ya juzi kati wakauliza utaje challenge utakazo kutana nazo wakati unafanya therapy ambayo jibu ndo hizo radiation leakages na mengine
-sasa kwa mfano wewe wa afya unapofanya audit pale kuna changamoto nyingi sana kwahiyo lazima ujue na jinsi yakusolve hizo ,sio afya tu hata wale wa geology
-na challenge zinakuaga zile ishu zinazokwamisha wwe kufanya duty zako kwahiyo kwakuongezea tu zisome hata zisipotoka hutapungukiwa chochote