Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kea uzoefu wangu na wenzangu ambao wana kazi sasa hivi
Kwanza vaa vizuri, hapa namaanisha uwe smart, kuanzia juu hadi chini. Suti angalau au kama huna basi ata shirt official na surual plus viatu vya kufunika sio sandal.
Swali la kwanza always linakuwaga tell us about yourself, hapa utaongea ur introduction, ur education inshort atleast anzia level ya chuo, na professional experience. Ila wakisema ur education history and professional history, hapa tell about ur education background inshort labda kuanzia primary till where u are na professional background sehem ulipofanyia kazi na internship. Nakazia inshort, ukitaka kuelezea kingereza kitakutupa mkono. Mimi ndivyo najua hivi.
Nyongeza:

Ukiacha swali la kwanza la tell us about yourself, basi maswali mengine yote karibu utaulizwa based on scenerio; usipaniki sikiliza kwa makini uelewe, kama hujaelewa swali unaweza kuomba liulizwe tena but usirudie zaidi ya mara mbili kuomba liulizwe tena.
 
Back
Top Bottom