πππππHilo ndo Jambo la muhimu tatizo lako huniamini mzee nilikwambia umepata kazi IAE hutaki haya subiri pdf itoke utakuja kuniambiaYaani unanipaga moyo we jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππππHilo ndo Jambo la muhimu tatizo lako huniamini mzee nilikwambia umepata kazi IAE hutaki haya subiri pdf itoke utakuja kuniambiaYaani unanipaga moyo we jamaa
πππππππππHilo ndo Jambo la muhimu tatizo lako huniamini mzee nilikwambia umepata kazi IAE hutaki haya subiri pdf itoke utakuja kuniambia
Wamegoma kutoa pdfπππππHilo ndo Jambo la muhimu tatizo lako huniamini mzee nilikwambia umepata kazi IAE hutaki haya subiri pdf itoke utakuja kuniambia
ππππMwezi ujao mzeeWamegoma kutoa pdf
Duh mbona mbali sanaππππMwezi ujao mzee
Basi ngoja nikaanze tu kazi pdf litakuja tuππππππππ Shortlisted =placement
Selected for=kukandwa
ππππNdo ujue kutafuta kazi ni kazi piaDuh mbona mbali sana
Kwaiyo hii kila baada ya nusu saa kuingia website ya utumishi itaendelea Kwa mwezi mmoja mbeleππππNdo ujue kutafuta kazi ni kazi pia
ππππNikupe moka yangu uvae mzee yakuendea kazini hiyo hahhhh pdf haina haja kwani maswali situlijibu sisiBasi ngoja nikaanze tu kazi pdf litakuja tuππππ
Naifata moka mapema sana jumatatu mzigoni ππππππNikupe moka yangu uvae mzee yakuendea kazini hiyo hahhhh pdf haina haja kwani maswali situlijibu sisi
ππππNdio mpaka tuheshimiane mtaani hahhhhKwaiyo hii kila baada ya nusu saa kuingia website ya utumishi itaendelea Kwa mwezi mmoja mbele
Kwakweli hawa utumishi watuonee tu hurumaππππNdio mpaka tuheshimiane mtaani hahhhh
Mpaka ukiliona jina unaanza kulia kwanzaππππππππNdio mpaka tuheshimiane mtaani hahhhh
ππππhahhhhh wanatuoshea kinoma yani placement inakufanya hata huwezi kufanya ishu zingineKwakweli hawa utumishi watuonee tu huruma
Kwakweli acha niaze kuzipuuza tu Sasa hiviππππhahhhhh wanatuoshea kinoma yani placement inakufanya hata huwezi kufanya ishu zingine
ππππNikiliona tu siku hiyo napost status ya magari nitakayonunuaMpaka ukiliona jina unaanza kulia kwanzaππππ
ππππHuwa hazipuuziki mkuu labda uwe wakishuaKwakweli acha niaze kuzipuuza tu Sasa hivi
Yaani, kama huna bando unaona Sasa Iko tayari ukiweka bando then unakuta bado yaani full stressππππHuwa hazipuuziki mkuu labda uwe wakishua
πππππKilichobaki mimi naangalia shortlisted yangu tu hiyo pdf itanikuta kazini aseehYaani, kama huna bando unaona Sasa Iko tayari ukiweka bando then unakuta bado yaani full stress
Nyongeza:Kea uzoefu wangu na wenzangu ambao wana kazi sasa hivi
Kwanza vaa vizuri, hapa namaanisha uwe smart, kuanzia juu hadi chini. Suti angalau au kama huna basi ata shirt official na surual plus viatu vya kufunika sio sandal.
Swali la kwanza always linakuwaga tell us about yourself, hapa utaongea ur introduction, ur education inshort atleast anzia level ya chuo, na professional experience. Ila wakisema ur education history and professional history, hapa tell about ur education background inshort labda kuanzia primary till where u are na professional background sehem ulipofanyia kazi na internship. Nakazia inshort, ukitaka kuelezea kingereza kitakutupa mkono. Mimi ndivyo najua hivi.