Soon to maana mikeka inakuja kama supriseHongera sana mkuu NAMI na El marabiosh naona zamu yetu ya kupanda kimbinyiko haipo mbali inshaaalah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soon to maana mikeka inakuja kama supriseHongera sana mkuu NAMI na El marabiosh naona zamu yetu ya kupanda kimbinyiko haipo mbali inshaaalah
Asante sana mkuuHongera Sana mkuu, ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu kila la kheri katika majukumu yako mapya
Shukran sanaHongera karibu tuwatumikie wananchi
Oya!!yaani kada tu siioni alafu nataka kuliona jina si uchizi huu 🤣 🤣
😂😂daah tusipotoboa miaka miwili hii sjui mwaka gani tena,daah kuna watu wananiuzig hasa niliosom nao walio kwnye system et bdo tu hujapataHizi kada zingene acha tuendelee kuwa vishoka na madalali
nambie!!Oya!!
Tujitafute tu Kwa namna nyingine maana serikalini [emoji119][emoji119].[emoji23][emoji23]daah tusipotoboa miaka miwili hii sjui mwaka gani tena,daah kuna watu wananiuzig hasa niliosom nao walio kwnye system et bdo tu hujapata
Kada tu haionekani jina ndio shida kabisa 🤣🤣nambie!!
wengine naona tunatafuta sindano baharini 🤣 🤣Kada tu haionekani jina ndio shida kabisa 🤣🤣
One day yes never give upwengine naona tunatafuta sindano baharini 🤣 🤣
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaKuna pdf uko wanangu wa nguvu. Mungu mwema nmetoboaaaaaa
Hongera sana nilisema andaa suti tuKuna pdf uko wanangu wa nguvu. Mungu mwema nmetoboaaaaaa
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaNashuru Mungu leo pdf hili nimetoboa, nimeomba kazi mara 6 nimeitwa usaili kazi 5 nimefanikiwa kuingia oral 4 leo hii nimetoboa kutokea data base (sijui ni data base ya interview gani) namshukuru Mungu lets keep it, MUNGU ni mwema hakika, nami sitaacha kushuhudia mambo makuu ya MUNGU,
Tufanye saili tumuombe Mungu.
Amina.
acha tu ndugu yangu.hivi nyie mnafanyeje mpaka mnajiautozoom kwenye pdf jaman..??One day yes never give up
Aiseee binafsi najiuliza Ila Wakati wa Mungu ukifika umefika tu.acha tu ndugu yangu.hivi nyie mnafanyeje mpaka mnajiautozoom kwenye pdf jaman..??
Hv kumbe noble hujalamba asali!!Hongereni wakuu mliolamba asali.
Mungu awatangulie kwenye majukumu yenu mapya.
Tuambieni Status zenu kwenye web na App zinasomaje adi leo.