Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji23][emoji23]daah tusipotoboa miaka miwili hii sjui mwaka gani tena,daah kuna watu wananiuzig hasa niliosom nao walio kwnye system et bdo tu hujapata
Tujitafute tu Kwa namna nyingine maana serikalini [emoji119][emoji119].

Kuna kada zingine unakuta Kwa mwaka zinatoka nafasi hata tatu tu. Hivyo, Kwa miaka miwili nafasi sita.
 
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
 
Hongereni wakuu mliolamba asali.
Mungu awatangulie kwenye majukumu yenu mapya.
Tuambieni Status zenu kwenye web na App zinasomaje adi leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…