Mkuu mbona utakiwi hata kusikitika kabisa..saili 2 tu...komaa tu utafika oralinauma wadau kukaa benchi mda mrefu..nimeenda saili 2 utumishi zote wamenikanda.
mark nayoipata ni 42 kwenye saili zote dah mpaka naona gundu sasa..ila nataka kujaribu tena nna receive 2
komaa kuna siku watakuita tu usjaliinauma wadau kukaa benchi mda mrefu..nimeenda saili 2 utumishi zote wamenikanda.
mark nayoipata ni 42 kwenye saili zote dah mpaka naona gundu sasa..ila nataka kujaribu tena nna receive 2
Jamaa naona kila akiamka anawaza tu kurusha watu rohoPdf iko wapi sasa ww
Kwani unafanya kada ipi mkuu? Tuanzie apo kukushauliinauma wadau kukaa benchi mda mrefu..nimeenda saili 2 utumishi zote wamenikanda.
mark nayoipata ni 42 kwenye saili zote dah mpaka naona gundu sasa..ila nataka kujaribu tena nna receive 2
Pole mkuu ila usikate tamaa mie nilifanya saili kama 7 hapo mixer zingine DSM zingine Dodoma na zote nilikuwa nazungusha nilikuja kutoboa saili ya 8 ndio nikafika oral na kwa kada yangu sijakaa hata miezi 3 nikaitwa nikachukue barua ya ajira so pambana mkuuinauma wadau kukaa benchi mda mrefu..nimeenda saili 2 utumishi zote wamenikanda.
mark nayoipata ni 42 kwenye saili zote dah mpaka naona gundu sasa..ila nataka kujaribu tena nna receive 2
Nilishawahi kupata 49.5, hapo muombe Mungu bahati tuu ulipo sio mbali na ushindi,niliisaka nafasi yangu kwa miaka sio chini ya 8 nikaipata namshukuru Mungu.inauma wadau kukaa benchi mda mrefu..nimeenda saili 2 utumishi zote wamenikanda.
mark nayoipata ni 42 kwenye saili zote dah mpaka naona gundu sasa..ila nataka kujaribu tena nna receive 2
Ulitaka kusema nn hapa mkuu?Usikate tamaa usichoke kuenda tena Dodoma, me nimefanya oral 6 moja tu ndo nimeingia kwenye oral
kwani kuna jobless wanapata usingizi humu.mimi binafsi silalagi huwa napumzika tu..Ndugu zangu JOBLESS DARAJA II mnapataje usingizi na mikeka ya placement haitoki? Mungu atuwezeshe kwakweli
Jobless hatuna namna aisee tumejichokea sanaNdugu zangu JOBLESS DARAJA II mnapataje usingizi na mikeka ya placement haitoki? Mungu atuwezeshe kwakweli
🤣🤣kuna ile usingizi mnono...hii hatuko nayo kabisakwani kuna jobless wanapata usingizi humu.mimi binafsi silalagi huwa napumzika tu..
Itakua written 6 oral 1 ndo kabahatika kuingia,daaa mtusameh joblessUlitaka kusema nn hapa mkuu?
Umefanya oral 6 moja tu ndo umeingia oral?
wanaolala usingizi mnono wana roho ya paka aisee mie huwa nashtukashtuka mpaka kunakucha yaan🤣🤣kuna ile usingizi mnono...hii hatuko nayo kabisa
mara hii umewasahau utumishi 🤣 🤣Vp jobless wenzang mmeamkaje uko?leo vp kuna kadalili ka mkeka mkeka?au tusubir may tu
Leo mkeka unaweza kutoka...
Pole mkuu.ongeza maandalizi mkuu.inauma wadau kukaa benchi mda mrefu..nimeenda saili 2 utumishi zote wamenikanda.
mark nayoipata ni 42 kwenye saili zote dah mpaka naona gundu sasa..ila nataka kujaribu tena nna receive 2