No SQL
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 7,063
- 12,563
Mkuu mbona utakiwi hata kusikitika kabisa..saili 2 tu...komaa tu utafika oralinauma wadau kukaa benchi mda mrefu..nimeenda saili 2 utumishi zote wamenikanda.
mark nayoipata ni 42 kwenye saili zote dah mpaka naona gundu sasa..ila nataka kujaribu tena nna receive 2