El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
ipo siku tu watajichanganyaKada yangu ni Muuguzi .
Karbia kila mkeka unatoka kada yangu iko .
Nimefanya Written kadhaa oral mwaka jana mwezi wa nane mwajiri alikuwa Hospital kubwa tu nchini.
Kinwchoniuma ni kuwa rafiki zangu wote wa kada yangu waliofanya oral zilizopita wako kazini.
Ila mimi nilipofanya tu oral hata database yetu haijawahi kukuguswa.
Kuwa serious sio jukwaa la utaniWakuu, ikitokea umetaitika sana kwenye written au oral, pointi zetu kuu ni zilezile;
Cha muhimu ni kujua namna ya kuzigeuzageuza tu kulingana na swali husika.
- Unemployment,
- Low wages,
- Poor government support,
- Misuse of resources,
- Ignorance among the people.
Kamwe usiache swali ikiwa una pointi hizi.
Nasubiri kwa hamu sanaipo siku tu watajichanganya
Pole mkuu,Ni swala la muda wako kufika endelea kukomaa consistence iendelee one day kitaeleweka tu trust in process.Kada yangu ni Muuguzi .
Karbia kila mkeka unatoka kada yangu iko .
Nimefanya Written kadhaa oral mwaka jana mwezi wa nane mwajiri alikuwa Hospital kubwa tu nchini.
Kinwchoniuma ni kuwa rafiki zangu wote wa kada yangu waliofanya oral zilizopita wako kazini.
Ila mimi nilipofanya tu oral hata database yetu haijawahi kukuguswa.
🤣 🤣 naona kimezima aisee.El marabiosh , Pinacoladee and others kumekuchaa, jamhuri ya muungano wa jobless.., manyanyaso ya simu yaendelee!
Wameanza kuviwasha🤣 🤣 naona kimezima aisee.
😄Hii site ya utumishi wangekuwa na Adsense account...wangepata hela nyingi sana maana tunaitembelea sana
Daaah we Acha tu,leo sjui watakiwashaEl marabiosh , Pinacoladee and others kumekuchaa, jamhuri ya muungano wa jobless.., manyanyaso ya simu yaendelee!
wafanye mpango kesho tusherehekee wote mei mosiDaaah we Acha tu,leo sjui watakiwasha
Yaani! Dahwafanye mpango kesho tusherehekee wote mei mosi