Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kada yangu ni Muuguzi .

Karbia kila mkeka unatoka kada yangu iko .

Nimefanya Written kadhaa oral mwaka jana mwezi wa nane mwajiri alikuwa Hospital kubwa tu nchini.

Kinwchoniuma ni kuwa rafiki zangu wote wa kada yangu waliofanya oral zilizopita wako kazini.

Ila mimi nilipofanya tu oral hata database yetu haijawahi kukuguswa.
ipo siku tu watajichanganya
 
Wakuu, ikitokea umetaitika sana kwenye written au oral, pointi zetu kuu ni zilezile;
  • Unemployment,
  • Low wages,
  • Poor government support,
  • Misuse of resources,
  • Ignorance among the people.
Cha muhimu ni kujua namna ya kuzigeuzageuza tu kulingana na swali husika.

Kamwe usiache swali ikiwa una pointi hizi.
 
Kuwa serious sio jukwaa la utani
 
Kada yangu ni Muuguzi .

Karbia kila mkeka unatoka kada yangu iko .

Nimefanya Written kadhaa oral mwaka jana mwezi wa nane mwajiri alikuwa Hospital kubwa tu nchini.

Kinwchoniuma ni kuwa rafiki zangu wote wa kada yangu waliofanya oral zilizopita wako kazini.

Ila mimi nilipofanya tu oral hata database yetu haijawahi kukuguswa.
Pole mkuu,Ni swala la muda wako kufika endelea kukomaa consistence iendelee one day kitaeleweka tu trust in process.
 
Waliosoma kanuni za Utumishi naomba kuelekezwa hapo kifungu cha 6 kuwa utumishi huwasiliana na msailiwa moja kwa moja. Je wanatumia njia gani na wakiwasiliana na wanakuwa na ajenda gani wakiwasiliana na msailiwa. Kwa wenye uzoefu tunaomba kujua
Screenshot_20240430-082538.jpg
 
Back
Top Bottom