Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu ivi online interview ya utumishi ipoje na kuna vitu gani vya kuzingatia
1: unaingia na username na password unayoitumia kwenye account yako ya ajira portal
2: unadakika nne(4) za kusoma instructions
3: baada ya hapo kuna popup message ya kuverify na kuanza mtihan
4: kama haijatokea haina maana kuwa muda wako umesimama, muite msimamizi mapema utatue changamoto hiyo, ukichelewa unaweza kujikuta dakika 20 zimekata
MASHARTI YA MUHIMU
5: Maswali ni 50 dakika ni 60 yaani saa moja, unaruhusiwa ku- submit baada ya nusu saa (30 min)
6: HAIRUHUSIWI KUFUNGUA PAGE NYINGINE, ukiingia system inafungua Full screen, usijaribu kutoka au kufungua new page
7: Unaruhusiwa kuanza na swali lolote kati ya 50
Nimeongelea upande wa ICT , wengine sijui
 
Back
Top Bottom