The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,580
- 7,203
Mkeka wa mwisho ulikuwa umeshiba sana ndio sababuSafari hii gap la placement limekuwa kubwa baada ya kimulimuli kuzima
π€£ π€£ ndo walisema ivoTumepata kibaki Cha kuajiri watumishi wa kada mbalimbali 46,000.
1. PS, Watendaji wa vijiji, Madereva, na Masjala nafasi 27,000.
Asante Iπ π π
Mbona watendaji na madereva na wenyewe wanalalamika wamekaa sana kwenye kanzi dataTumepata kibaki Cha kuajiri watumishi wa kada mbalimbali 46,000.
1. PS, Watendaji wa vijiji, Madereva, na Masjala nafasi 27,000.
Asante Iπ π π
Kutokana na matangazo tu na mikeka yaoπππ€£ π€£ ndo walisema ivo
wanazingua kishenziKutokana na matangazo tu na mikeka yaoππ
Kwan database yao inafika watu 10000?wanazingua kishenzi
yaani siku wakiniita kwenda kuchukua barua naenda na kopo la mikojo lazima mtu aoge pale π€£ π€£Kwan database yao inafika watu 10000?
Siniwahuni tu
ππππ Mm nitaenda alfajiri Ile wanafungua tu ofisi nipoyaani siku wakiniita kwenda kuchukua barua naenda na kopo la mikojo lazima mtu aoge pale π€£ π€£
Daaaah umetisha aiseee.. wataona jobless huna mba mba mba ππππππππ Mm nitaenda alfajiri Ile wanafungua tu ofisi nipo
πππππmbona nishatoa pdf kule hujaliona
Kabisa maana siyo kwa huu msotoDaaaah umetisha aiseee.. wataona jobless huna mba mba mba ππππ
Labda za mwandishi msaidiz wa daftari la kudumu la wapiga kuraππIT unaonaje Ukatukumbuka Jioni ya Leo ili kesho tuamke na ratiba za kuja Dodoma kuchkua barua.
Daah safari hii wamekula shavu sanaMadereva, Afisa Maendeleo ya Jamii, Personal Assistant, Afisa Kilimo na Accountant kwakweli wangepotezewa kwa Muda. IT hebu kumbuka kada nyinginezo
J2 Sio ya kutegemea pdf Sanaa..Today is gone, lets hope for tomorrow
1: unaingia na username na password unayoitumia kwenye account yako ya ajira portalWakuu ivi online interview ya utumishi ipoje na kuna vitu gani vya kuzingatia