ANoblePerson
JF-Expert Member
- Sep 30, 2023
- 466
- 701
Hivi hii kazi yao ya Tour kwa kila media ni kazi yao ya kimuundo au ndiyo Ile inasema utafanya na kazi zingine utakazopewa na Mkuu wako.???????
Majinga sana haya😂
Maswali ni multiple choice??1: unaingia na username na password unayoitumia kwenye account yako ya ajira portal
2: unadakika nne(4) za kusoma instructions
3: baada ya hapo kuna popup message ya kuverify na kuanza mtihan
4: kama haijatokea haina maana kuwa muda wako umesimama, muite msimamizi mapema utatue changamoto hiyo, ukichelewa unaweza kujikuta dakika 20 zimekata
MASHARTI YA MUHIMU
5: Maswali ni 50 dakika ni 60 yaani saa moja, unaruhusiwa ku- submit baada ya nusu saa (30 min)
6: HAIRUHUSIWI KUFUNGUA PAGE NYINGINE, ukiingia system inafungua Full screen, usijaribu kutoka au kufungua new page
7: Unaruhusiwa kuanza na swali lolote kati ya 50
Nimeongelea upande wa ICT , wengine sijui
Kada gani mkuu mwaka wa 8 hawajagusa.Wiki ya pili inaenda bila mkeka.. Sijui kuna nini kimezuia mkeka mpya. Ila tuendelee kuweka Matumaini juu. IT wembe ni ule ule zile kada za Madereva, Officce Assistant, Afisa Kilimo, Maendeleo ya Jamii tunaomba unapumzishe. Kuna kada hawajaguswa huu mwaka wa 8 na Oral wanafika.
Kila mmoja aseme Aameen
I think huwa kuna ka utaWanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
wanajiongeza hapo ili wajilipe posho..Hivi hii kazi yao ya Tour kwa kila media ni kazi yao ya kimuundo au ndiyo Ile inasema utafanya na kazi zingine utakazopewa na Mkuu wako.???????
Royal tour + PSRS tour= Magic FM.
Huyo anayeidhinisha malipo ya posho zao naombeni namba yake.wanajiongeza hapo ili wajilipe posho..
Sku ya kipdf tu unaoiona nuru tu🤣🤣,na umu siku izi hakuna wapiga ramli kabisatumepigwa uppercut.
wapiga ramli wamestaafu formula haieleweki 🤣 🤣Sku ya kipdf tu unaoiona nuru tu🤣🤣,na umu siku izi hakuna wapiga ramli kabisa
Mdau wa Maendeleo T-pain aje tu ili ashtue watuSku ya kipdf tu unaoiona nuru tu🤣🤣,na umu siku izi hakuna wapiga ramli kabisa
Shukurani mkuu1: unaingia na username na password unayoitumia kwenye account yako ya ajira portal
2: unadakika nne(4) za kusoma instructions
3: baada ya hapo kuna popup message ya kuverify na kuanza mtihan
4: kama haijatokea haina maana kuwa muda wako umesimama, muite msimamizi mapema utatue changamoto hiyo, ukichelewa unaweza kujikuta dakika 20 zimekata
MASHARTI YA MUHIMU
5: Maswali ni 50 dakika ni 60 yaani saa moja, unaruhusiwa ku- submit baada ya nusu saa (30 min)
6: HAIRUHUSIWI KUFUNGUA PAGE NYINGINE, ukiingia system inafungua Full screen, usijaribu kutoka au kufungua new page
7: Unaruhusiwa kuanza na swali lolote kati ya 50
Nimeongelea upande wa ICT , wengine sijui
Psrs saiv sio wa kuwapigia ramli hawakawii kukuchania mkeka🤣wapiga ramli wamestaafu formula haieleweki 🤣 🤣
ivi mkuu sam mirror 1 tulisha conclude ukikuta not selected for oral kwenye app ndo umefeli oral sindio mkuu au?Shukurani mkuu
Ujawazaaa muda wa kutangaza hizo kazii ...kwanza achatuWanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?