Mbona polisi wametoaJamani lkn placement zitakuwa zimesimamishwa sio bure mbn zamani walikuwa wanatoa ata Kwa interval ya siku 10 mpk 10 sahv jamani watakuwa wamesimamisha sio bure. Maana ata ndg zetu walimu na watu wa afya holaaah
Ndio hasa zile kada zenye... written- practical-oralJobless wenzangu habar,napenda kuuliza hv ukiingia oral kuna asilimia kubwa ya ww kupata placement au kubaki kwenye data base baadae ukapangiwa kazi
Uyo anasemea placement/kuitwa kazini kwa waliofanya oral PSRS, Ao polisi ndo kwanza tangazo la ajiraMbona polisi wametoa
Daaah sio bure,apa hatuna budi kua wapoleee aiseeπJamani lkn placement zitakuwa zimesimamishwa sio bure mbn zamani walikuwa wanatoa ata Kwa interval ya siku 10 mpk 10 sahv jamani watakuwa wamesimamisha sio bure. Maana ata ndg zetu walimu na watu wa afya holaaah
Mkuu Kwa hii mikimiki ya mateso ya PSRS siku ndo tunatoboa asee sipati picha uko makazini kuna dalili za kulala ofisini π€£π€£π€£Daaah sio bure,apa hatuna budi kua wapoleee aiseeπ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£daaah sjui itakuajeMkuu Kwa hii mikimiki ya mateso ya PSRS siku ndo tunatoboa asee sipati picha uko makazini kuna dalili za kulala ofisini π€£π€£π€£
Kufa hatufi ila cha moto tunakionaDaah aisee jobless tunapitia mateso mengi sana. Yaani itabidi mtu akilamba asali utumishi apigiwe mizinga aisee na kuwepo na siku maalum ya kuwaenzi jobless.. πππ
KISHINDO CHA WAKOMA[emoji41]Ichi kimya kirefu cha PSRS sio bure naona kitakuwa na kishindo kikubwa mazuri yanakuja
Yaani ile paap nimelamba asali utumishi, ile miezi ya mwanzoni mwanzoni naupa mwili pole . Mtu akija na vishauri vyake sijui nunua kiwanja sijua bana matumizi nampa tusi. πππKufa hatufi ila cha moto tunakiona
pinacoladee hutaki kua pongo.. π€£ π€£Daaah sio bure,apa hatuna budi kua wapoleee aiseeπ
Tutajenga kweli[emoji848]Kufa hatufi ila cha moto tunakiona
jamaa ndio kwanza wanashusha matangazo hawana habari..Tutajenga kweli[emoji848]
Tutakuja kuuwana[emoji846] BADALA ANUNUE KIWANJA YE ANAKESHA BARYaani ile paap nimelamba asali utumishi, ile miezi ya mwanzoni mwanzoni naupa mwili pole . Mtu akija na vishauri vyake sijui nunua kiwanja sijua bana matumizi nampa tusi. [emoji23][emoji23][emoji23]
ππππTutakuja kuuwana[emoji846] BADALA ANUNUE KIWANJA YE ANAKESHA BAR
Yani ndo nimemaliza kuuza miwa hapa rangi 3, ile naingia kuwachek PSRS nakutana na kitu kizito daah bora bando ningenywea supu ya kongoro ya jero[emoji3]jamaa ndio kwanza wanashusha matangazo hawana habari..