El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
labda keshoAcha nirudishe toroli nikalale gheto sasa[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
labda keshoAcha nirudishe toroli nikalale gheto sasa[emoji3]
Daaaah aisee 😃😃😃🤣 🤣 🤣 tayaar
Acha kutisha wenzio.. 😂😂😂au bas tutakesha 🤣 🤣
Nilivyokimbilia app aisee😂💔mtatuua jmaniiiiOy hiyo update ya app mbona mapicha picha mengi wazee. Selected for oral zimebadilishwa zimekuwa written.. 😂😂😂
Jobless unalalaje usingizi mnono,kwa raha gani hasa wakati unadaiwa na waliokusomesha,pia unawaza elimu yako kweli ya kuuzia miwa dah😂💔au bas tutakesha 🤣 🤣
Kimya Chao kinaogopesha..ata wangesem jambo ata la kututia moyo tu kuhusu placementSio bure aisee, kimya kimekuwa kingi mno!
Tunasubirii placement tumechoka kunyanyasika mtaaniiJobless bado mmelala?
Kwako haijabadilika kwani?Nilivyokimbilia app aisee😂💔mtatuua jmaniiii
Aiseee kitaa kigumu sana...Alafu wanamtaa wanatupostia clip za Dotto magari🤣🤣...wengine mkiwa mnapig stor unasikia wenye degree zao Tuko nao mtaani uku wanakuangalia usoni💔Tunasubirii placement tumechoka kunyanyasika mtaanii
Yaanii Mimi ndiye wakutolewa mfano kwelii mtaanii,,,,,Nimekuwa funzo Kwa wenginee😭😭Aiseee kitaa kigumu sana...Alafu wanamtaa wanatupostia clip za Dotto magari🤣🤣...wengine mkiwa mnapig stor unasikia wenye degree zao Tuko nao mtaani uku wanakuangalia usoni💔
Mbona hata mm nimekimbilia kwenye App hakuna kilichobadilikaKwako haijabadilika kwani?
Kuna update mpya naona maana jana iliniambia ni update.Mbona hata mm nimekimbilia kwenye App hakuna kilichobadilika
🤣 🤣 weka bando leo unapata kaziJobless bado mmelala?
😅😇😇😇😇🤣 🤣 weka bando leo unapata kazi
Hii haikupita psrsWale mliofanya usaili Mzumbe wameanza kupiga cm mkaripoti kazini. Hakikisha cm yako inapatikana ndugu zanguni.
Mm naona iko vile vile tuKwako haijabadilika kwani?
Duuuuh mambo ayoWale mliofanya usaili Mzumbe wameanza kupiga cm mkaripoti kazini. Hakikisha cm yako inapatikana ndugu zanguni.