Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Lakin naskia kuna watu huwa wanapigiwa sim za kufata barua halaf mkeka unakuja kutoka baadaye
Yani unapigiwa kama leo halafu usjachukua barua wiki mbili baadae jina linatoka
mmhh labda wawe wanakuhitaj haraka
 
Kada zipi hizo
Law 1 post
Assistant lecture HR 1post
Assistant lecture Accounting 1 post
Assistant Librarian trainee 2post
Interview ni ya Mzumbe ila imesimamiwa na psrs maana majibu ya written interview yametoka kwao ila kuita watu kazini HR mzumbe ndio kapigia watu simu kwaiyo huyu jamaa angu hajaenda Asha Rose kuchukua barua wamepewa huko chuoni walipowasili.
 
Duuu hongera zao,wengine wapo wanaskilizia kila muda wanaingia web kumbe wengine washaripoti kazini
 
Hivii na sisi tuliofanya Oral tarehe 30/04/2024 placement inawezeka kutoka kabla ya mwezii huu kuisha.
 
Back
Top Bottom