captain sparrow
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 949
- 2,061
Hapa hii imekaaje kaaje.Wale mliofanya usaili Mzumbe wameanza kupiga cm mkaripoti kazini. Hakikisha cm yako inapatikana ndugu zanguni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa hii imekaaje kaaje.Wale mliofanya usaili Mzumbe wameanza kupiga cm mkaripoti kazini. Hakikisha cm yako inapatikana ndugu zanguni.
Leo unaomba pdfZilizonifikia Placement Mpaka June. Mwezi May mzima wale mlio na received jiandaeni kwenda Dodoma
🤣🤣Leo hapa nilipo imenyesha mvua kidogo hizi ni dalili za PDF tena lenye minyama wazee tuipakue
Ramli hiiLeo hapa nilipo imenyesha mvua kidogo hizi ni dalili za PDF tena lenye minyama wazee tuipakue
Kafuta placement tatu wala sio moja.. kafuta ya TANAPA, ARDHI na TAASISI MBALIMBALI.IT kafuta placement moja..pengine anataka kuweka nyingine
Umeamua uniseme madam au [emoji3][emoji3]Jobless unalalaje usingizi mnono,kwa raha gani hasa wakati unadaiwa na waliokusomesha,pia unawaza elimu yako kweli ya kuuzia miwa dah[emoji23][emoji174]
Kumbe.. pengine anataka kuweka nyingineKafuta placement tatu wala sio moja.. kafuta ya TANAPA, ARDHI na TAASISI MBALIMBALI.
au watakua wamebadilisha mfumo wa kuita watu kazini nini badala ya pdf ni simu..Wale mliofanya usaili Mzumbe wameanza kupiga cm mkaripoti kazini. Hakikisha cm yako inapatikana ndugu zanguni.
Hehehehee anaepandisha pdf yupo likizoau watakua wamebadilisha mfumo wa kuita watu kazini nini badala ya pdf ni simu..
Hii haikupita psrs
OkTangazo Lao lilipitia psrs na walisimamia wao wenyewe
msikute tunasubiri pdf kumbe watu wanapigiwa simuHehehehee anaepandisha pdf yupo likizo
Simu ziite mkuu, simu ziite niko available 24 hours tena iko na volume ya kutoshaau watakua wamebadilisha mfumo wa kuita watu kazini nini badala ya pdf ni simu..
Mmmh bhn bhn weeee si yle engineer alikua anafanya media tour,washarud dom mbnHehehehee anaepandisha pdf yupo likizo
Namba ngeni napokea jmn🤣🤣msikute tunasubiri pdf kumbe watu wanapigiwa simu
bora hata wangekua wanapiga simu tungeokoa mabando yetu..Namba ngeni napokea jmn🤣🤣
Mkuuu jobless lazim ule masimango🤣🤣,mm adi kwa nyumban naangalia katuniUmeamua uniseme madam au [emoji3][emoji3]