Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Utumishi please , kama kuna Electrical Engineer aliwatukana kwenye interview basi msameeni , maana mnachofanya ni kukomoa , watu wanafanya interviews ,ninyi Kenge hamtoi Placement ,mwaka huu unaisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Fisi maji ninyi @psrs
 
Fisi maji ninyi
unaendelea kuwatukana sasa
 
Electrical engineers mpaka msemeee [emoji28][emoji28][emoji28]
Ni mwendo wa madereva ,wapishi ,accountants , record management , wachumi , kilimo ,librarians .
Haya majamaa tuliyatukana kwenye zile interviews au ?
Kifupi hizo kada ulizozitaja ni kada pendwa utumishini nyie ma engineers mtaendaje site bila madereva na bila kula kuweni wavumilivu
 
Back
Top Bottom